hahahahahaha mkuu unanichekesha xanaYani halafu watu wajinga ndo wanapataga michongo ya ela nyingi cjui ni kwanini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahaha mkuu unanichekesha xanaYani halafu watu wajinga ndo wanapataga michongo ya ela nyingi cjui ni kwanini
Baada ya kuwapiga manyumbu mpunga wa kutosha akaona amnunulia binti yake wa miaka minne gari aina ya Masserati Lavante yenye thamani ya kama milioni 200
Fungua la kwako na wewe uendelee kuwapiga hao wajinga maana unasema hawaishi au unaonaje JombaaWajinga huwa hawaishi na ataendelea kuwapiga mpaka watie akili na ni rafiki Mkubwa sana wa Apostle Mutalemwa na yeye anijiita Bushiri.
Ni Nani Huyu Apostle Mtalemwa Bushiri?
walokole hawaamini upuuzi huoBiblia inaposema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa haikukosea. Lakini bado utashangaa wanaojiita walokole a.k.a wapendwa wataendelea kumuamini tu! Hawa jamaa ni wafanyabiashara tuu.[emoji36]
Yanini Nijichumie zambi kwa maisha mafupi ya duniani? Hela Mbuzi nazopata zinanitosha yanini nikitie laana kizazi changu kwa kuwadhulumu wana wa adamu? Hata Mbuyu ulianza kama mchicha na mimi nina imani mdogo mdogo mwendo wa kobe nitafika.Fungua la kwako na wewe uendelee kuwapiga hao wajinga maana unasema hawaishi au unaonaje Jombaa
Wadanganye na wewe iyo biblia gani inataja Jesuis?Acheni kudandia maneno msiyoyajuaNi rahisi mno kuwadanganya binadamu kutumia dini, hata Jesuis alituonya sana lakini je tutafanyaje kuwabaini hawa manabii wa uongo?
Akudanganye wewe ili apate nini?jamaa ni tapeli haswaa. Kuna video clip flani hivi ipo Youtube inaonesha eti jamaa anatembea heawani wakati clearly kunasehemu alijishikilia kwa juu. Kuna nyingine ilionesha vitu ambavyo alidai kuwa ni malaika wakati ilionekana wazi wazi kwamba ni computer effects.
Basi Usiyaonee kijicho maendeleo ya mwingine kwa story za kuambiwaYanini Nijichumie zambi kwa maisha mafupi ya duniani? Hela Mbuzi nazopata zinanitosha yanini nikitie laana kizazi changu kwa kuwadhulumu wana wa adamu? Hata Mbuyu ulianza kama mchicha na mimi nina imani mdogo mdogo mwendo wa kobe nitafika.
Hizo mali alikua Nazo kabla au baada ya kuanza kula vya madhabahuni?Wengi nyie mloleta hizo video kutoka youtube hamjui hata mnachojaribu kuongea,unachukua kipande cha video arafu unakuja kumsema mtumishi wa MUNGU,usiyoyajua usishadadie kuongea,mfatlieni huyo alieanzisha bushiri must fall ameishia wapi ? kwa taarifa yenu Prophet bushiri hategemei sadaka katika kuendesha maisha yake anaviwanda vya madini kamavile acacia na viwanda vya nguo vipo china amewekeza kwenye mahotel dubai,sio maskini kama wewe uliyeenzisha hii mada hapa
Fikra za kimaskini hizo sema komaa unaweza toboa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha kabisa, mpaka unakubali kutapeliwa na hawa watu basi muda umefika ubebe hata sembe upeleke China!
Heri ya hiyo kuliko hawa, matapeli wakubwa..
Story za kuambiwa zipi? Hivi Kwa akili yako unawaamini hawa wapiga deal kina Bushiri,Mlevi wa Konyagi na Yule aliyemzalisha Mke wa mtu mwenye kesi mahakamani? Sisi tunachopinga ni kuwatapeli watu kwa mgongo wa dini.Basi Usiyaonee kijicho maendeleo ya mwingine kwa story za kuambiwa
Gazeti lote la nini ndugu if you think this is a deal go and try for yourselfStory za kuambiwa zipi? Hivi Kwa akili yako unawaamini hawa wapiga deal kina Bushiri,Mlevi wa Konyagi na Yule aliyemzalisha Mke wa mtu mwenye kesi mahakamani? Sisi tunachopinga ni kuwatapeli watu kwa mgongo wa dini.
Nabii Askofu Mwingira agoma Kupima DNA, ni katika kesi ya kuzaa na mke wa mtu
Kwa hii kashfa, Mchungaji Anthony Lusekelo (Mzee wa Upako) atajisafishaje?
Gazeti lote la nini ndugu if you think this is a deal go and try for yourself
Basi endelea kumsema kwa comments za jamii forum ataacha utapeli sawa JombaaSina kipaji cha utapeli ndugu.
JF ni mtandao mkubwa tunawazindua "Wajinga" wazinduke wasiendelee kupigwa sio mpaka MANGE ASEME.Basi endelea kumsema kwa comments za jamii forum ataacha utapeli sawa Jombaa
Haya mtumie na mange awasaidie na hiliJF ni mtandao mkubwa tunawazindua "Wajinga" wazinduke wasiendelee kupigwa sio mpaka MANGE ASEME.
Pyramid scheme/Network marketing tumezipinga sana humu watu wamezinduka baada ya mange kusema jana na hili la Mapasta wapigaji tutaendelea kulipinga sana.
Haya mtumie na mange awasaidie na hili
Acha kumfananisha Bushiri na vitu vya ajabuMange atafunguka Endapo Pasta ataingia kwenye 18 zake kama hajaingia hawezi kumsema.
HIDE My ID Please Mkuu.