McMahoon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,353
- 1,639
''Watu wangu wanahangamia kwa kukosa maarifa'' siku hizi watu wanafanya dini biashara. Tuwe makini matapeli wapo kila sehemu kwa sasa. Na hii yote ni kwasbb watu wanapenda miujizajamaa ni tapeli haswaa. Kuna video clip flani hivi ipo Youtube inaonesha eti jamaa anatembea heawani wakati clearly kunasehemu alijishikilia kwa juu. Kuna nyingine ilionesha vitu ambavyo alidai kuwa ni malaika wakati ilionekana wazi wazi kwamba ni computer effects.