Nabii Bushiri aaibishwa na muigizaji aliyemlipa kutoa ushuhuda wa uongo stejini

Nabii Bushiri aaibishwa na muigizaji aliyemlipa kutoa ushuhuda wa uongo stejini

jamaa ni tapeli haswaa. Kuna video clip flani hivi ipo Youtube inaonesha eti jamaa anatembea heawani wakati clearly kunasehemu alijishikilia kwa juu. Kuna nyingine ilionesha vitu ambavyo alidai kuwa ni malaika wakati ilionekana wazi wazi kwamba ni computer effects.
''Watu wangu wanahangamia kwa kukosa maarifa'' siku hizi watu wanafanya dini biashara. Tuwe makini matapeli wapo kila sehemu kwa sasa. Na hii yote ni kwasbb watu wanapenda miujiza
 
....sasa cha kuchekesha yeye mchungaji fake bushiri akaanza kusisitiza "No body Put Fire there Watch" huku anarudia maneno hayo mara nyingi...
Mambo ya ajabu sana. Hajiamini na anajua fix zake waumini wengi walishaanza kuzishtukia
 
Absolute deception, very good acting by this woman, she deserves a grammy award..!
 
Njia mojawapo ya kujipatia kipato ni kuhadaa wajinga japo sio halali ila ndio duniani unaishi kwa kundi la Wenye nacho
Usiwahukumu , hao waumini na Kuwaita wajinga , huenda hata na wewe ni mjinga kwa hapo unapo abudu, omba mwenyezi mungu aturehemu ,na atujalie mwanga wa roho mtakatifu , maana alisema kutakuwa na manabii wa uongo ,, like Elijah did at Mt Carmel for the false prophet.
 
Usiwahukumu , hao waumini na Kuwaita wajinga , huenda hata na wewe ni mjinga kwa hapo unapo abudu, omba mwenyezi mungu aturehemu ,na atujalie mwanga wa roho mtakatifu , maana alisema kutakuwa na manabii wa uongo ,, like Elijah did at Mt Carmel for the false prophet.
Hao ni wajinga, acha kutetea ujinga, unless otherwise na wewe umeshatumbukia kwenye huo ujinga wa miujiza feki..
 
Yeye aendelee tu na dini yake.

Ila jambo kuu sasa hivi ni :-
Huko Tanzania, managemebt ya NEC na DED wa Kinondoni wamemuua Binti AAB asiye hata na hatia kupitia askari polisi.

Serikali ili ijisafishe kutoka katika mauji haya ni lazima iwatumbue management ya NEC na DED wa Kinondoni, tena wafikishwe mahakamani na wafungwe.

R.I.P. Binti AAB,
Ndoto zako zimezimwa kama mshumaa unavyozimwa.
 
Wagalatia 6.7
"msidanganyike, MUNGU HADHIHAKIWI, kwa kua chochote apandacho mtu ndicho atakachovuna "
 
Anajidai kwamba amelijua jina lake bila kuambiwa, lakini anapomuuliza anamuumbua kwamba walishakutana kabla na akampanga nini cha kuongea mida ya asubuhi kabla ya misa, AIBU,AIBU,UTPELI!! Ona video

Anamuiga Mhubiri mnyenyekevu maarufu wa Miaka ya zamani kidogo huko marekani aliyekuwa na karama halisi na hakua after money at all ila kumtumikia Mungu na kuwaleta watu kwake naitwa William Branham. (1906-1965)
 
Kabisa. Nnahisi hawakumpanga vyema kabla

Sent from my HTC_M910x using JamiiForums mobile app
Walimpanga vyema, sema jamaa ni mkali na ndicho kilichomfanya mzee ajikanyage na kuchanganyikiwa mbele za watu, maana ukweli hutoka kirahisi mdomoni, ila uwongo ni hadi uufikirie, sasa ukishapanic mbele za watu ukweli tu ndio hutoka..
 
Watu huwa mnajilipua kwa unafiki,endeleeni kuwa na mashaka ......
 
Ukiangalia video clips nyingi za huyu bwana mchungaji Abushiri ndani ya Youtube utagundua ni kiasi gani alivyo fake.
Anawadanganya waumini wake kwamba ana uwezo wa miujiza kumbe hana.
Kuna Jamaa amejitokeza kumchana live na kuanzisha campaign ya "Bushiri must fall"
Mungu asaidie ifike siku Bushiri ashindwe katika Jina la Yesu Kristo.
Na yeye si anatumia jina hilohilo?
 
Back
Top Bottom