Nabii Bushiri aaibishwa na muigizaji aliyemlipa kutoa ushuhuda wa uongo stejini

 
 
Hawa wote wanaojinadi na kupata wafuasi kupitia miujiza ni matapeli tu, hao wengine kwasababu hawajaumbuka bado.

Badala ya kukusanya watu na kuwakataza kufanya maovu, wao watu wa Mungu wanahubiri miujiza na utajiri ili waendelee kuneemeka, hii ni mbaya sana.

Tutumie nguvu kubwa kukataza maovu sio kwenye miujiza, na hili hawawezi kulifanya kwa sababu wanajua wakimataza maovu hawatapata wafuasi mana nafsi ya mwanadamu imeumbwa kupenda maovu kuliko mema.
 
Mpka leo hii 2022 wako binaandamu na akili zao timamu wanadanganywa kuwa kuna watu wanaitwa manabii wa Mungu.

Innah lillahi wainnah ilaihi rajeuun.
Kweli upumbavu sio kabila.
 
Mpka leo hii 2022 wako binaandamu na akili zao timamu wanadanganywa kuwa kuna watu wanaitwa manabii wa Mungu.

Innah lillahi wainnah ilaihi rajeuun.
Kweli upumbavu sio kabila.
Ni sawa na wewe unavyoamini maamuma alikuwa mtume wa allah
 
 
 
 
 
We ndio unaweza gundua hizi ishu ila kuna ng'ombe hawawezi kukuelewa
 
 
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…