Nabii Bushiri aaibishwa na muigizaji aliyemlipa kutoa ushuhuda wa uongo stejini

Nabii Bushiri aaibishwa na muigizaji aliyemlipa kutoa ushuhuda wa uongo stejini

 
Haya mambo ya janja janja hayatokaa yaishe Afrika maana wajinga ni wengi.

Juzi nilikuwa naangalia YouTube ngoma za waafrika zinaitwa VADU AFRICAN DANCE au VADOO AFRICAN DANCE.

Kuna wajinga wakaamini kuwa mizimu ya mababu ndio inacheza. Nilicheka sana baada ya kufanya utafiti wangu tena kwa dakika kama tatu nikagundua ulaghai wao.
 
 
Kila mmoja wao anadai ameonana na Yesu live na kupewa maagizo..

Unaambiwa njoo kwenye Ibada ya CHUMVI, ASALI ya mwambani, Mchanga, Mawe na vyote vimetoka ardhi takatifu ya Israel..
 
 
Mimi nasubiri yule aliyekamatwa kwenye video ya uchi, akakataa na watu wakamshangilia na kumpa ubunge, vijana bado wanasubiri kupelekwa Marekani na ile Train waliyoahidiwa
 
 
 
 
Back
Top Bottom