FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #381
PICHA NA VIDEO ZA WAHUBIRI WAKIWA WANAOMBA PORINI NI UTAPELI MTUPU!
PICHA NA VIDEO ZA WAHUBIRI WAKIWA WANAOMBA PORINI NI UTAPELI MTUPU! Wahubiri matapeli wana tabia ya kupiga picha na kuchukua video wakiwa porini au milimani.Kisha huzirusha kwenye mitandao au television.Nia yao kubwa ni kuwaaminisha wasaka miujiza wasio na maarifa ya Neno la Mungu,kuwa wao ni...