Nabii Bushiri aaibishwa na muigizaji aliyemlipa kutoa ushuhuda wa uongo stejini

Nabii Bushiri aaibishwa na muigizaji aliyemlipa kutoa ushuhuda wa uongo stejini

 
 
Anajidai kwamba amelijua jina lake bila kuambiwa, lakini anapomuuliza anamuumbua kwamba walishakutana kabla na akampanga nini cha kuongea mida ya asubuhi kabla ya misa, AIBU, AIBU, UTAPELI!! Ona video

==========================
UPDATE: 05/11/2020

Hatimae tapeli nabii Bushiri awatapeli waumini wake Randi milioni 500, video hapo chini ina maelezo ya kina sana


===========================
UPDATE: 14/07/2021


“A judging God who has plans and acts purposively is a God to be obeyed and placated. Opportunistic preachers are then able to play on our hopes and fears in the face of such a God. They prescribe ways of acting that are calculated to avoid being punished by that God and earn his rewards. But, Spinoza insists, to see God or Nature as acting for the sake of ends—to find purpose in Nature—is to misconstrue Nature and “turn it upside down” by putting the effect (the end result) before the true cause.

Nor does God perform miracles, since there are no, and cannot be, departures whatsoever from the necessary course of nature. This would be for God or Nature to act against itself, which is absurd. The belief in miracles is due only to ignorance of the true causes of phenomena.”

=================================
Nyingine hii ya juzi juzi

Hawa wote wanaojinadi na kupata wafuasi kupitia miujiza ni matapeli tu, hao wengine kwasababu hawajaumbuka bado.

Badala ya kukusanya watu na kuwakataza kufanya maovu, wao watu wa Mungu wanahubiri miujiza na utajiri ili waendelee kuneemeka, hii ni mbaya sana.

Tutumie nguvu kubwa kukataza maovu sio kwenye miujiza, na hili hawawezi kulifanya kwa sababu wanajua wakimataza maovu hawatapata wafuasi mana nafsi ya mwanadamu imeumbwa kupenda maovu kuliko mema.
 
Mpka leo hii 2022 wako binaandamu na akili zao timamu wanadanganywa kuwa kuna watu wanaitwa manabii wa Mungu.

Innah lillahi wainnah ilaihi rajeuun.
Kweli upumbavu sio kabila.
 
Mpka leo hii 2022 wako binaandamu na akili zao timamu wanadanganywa kuwa kuna watu wanaitwa manabii wa Mungu.

Innah lillahi wainnah ilaihi rajeuun.
Kweli upumbavu sio kabila.
Ni sawa na wewe unavyoamini maamuma alikuwa mtume wa allah
 
 
 
 
 
jamaa ni tapeli haswaa. Kuna video clip flani hivi ipo Youtube inaonesha eti jamaa anatembea heawani wakati clearly kunasehemu alijishikilia kwa juu. Kuna nyingine ilionesha vitu ambavyo alidai kuwa ni malaika wakati ilionekana wazi wazi kwamba ni computer effects.
We ndio unaweza gundua hizi ishu ila kuna ng'ombe hawawezi kukuelewa
 
 
 
 
 
Back
Top Bottom