Exorcist
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 1,235
- 1,268
Video: Chungaji ampiga '' DENDA'' (Long Kiss) Muda mrefu Muumini Akimuondolea MAPEPO - JamiiForums
Utamuona mwanadada mlimbwende akinyonywa ndimi kwa muda mrefu kama style ya kuondoa mapepo. Alikuwa anaota demo ya kutoa mapepo kwa njia ya kuunganisha ndimi, cha ajabu alimyonya dada huyo muda mrefu hadi wakinamama wawili humo kanisani wakashika kichwa kwa mshangao. Hii ilikuwa Zimbabwe...