Nabii Bushiri aaibishwa na muigizaji aliyemlipa kutoa ushuhuda wa uongo stejini

Nabii Bushiri aaibishwa na muigizaji aliyemlipa kutoa ushuhuda wa uongo stejini

maelezo wanajichanganya sema kuna watu walitaka kufikisha ujumbe. Mara you called me in the overflow mara was i here before? siwaelewi hata mmoja hata anaeitwa DJ anaonekana zinakwenda speed sana maneno kuliko akili sijui kazi zimemharibu halafu This man is crazy hapo inawezekana kauliza kiutani kwani hawa watumishi hawatanii wala hawachekeshi?
 
Unajua muda mwingine unapomdhihaki Mungu, mnajikuta mnapigwa pigo kwenye akili zenu na mnakuwa kama wehu hivi..
 
Unajua muda mwingine unapomdhihaki Mungu, mnajikuta mnapigwa pigo kwenye akili zenu na mnakuwa kama wehu hivi..
Sawasawa mtumishi wa Bwana unajitoa kweli Taji 8 zinakusubiri mbinguni [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122]
 
Nabii Joshua Mbugua wa jijini Dar ashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kutapeli waumini wake

Katika taarifa ya habari ya saa 2 usiku TBC kutoka kwa reporter SAM MAHELA, kuwa nabii huyo anayepatikana DAR anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kutapeli fedha waumini wake ambapo waumini wawili wamethibitisha hilo mmoja akitapeliwa laki 6 na mwingine laki 2 eti aliwashawishi wampelekee hela aziombee na baadaye akadai zimeungua na moto.

Binafsi ukiachilia mbali kutokuwakubali hawa wanaojiita manabii,lakini huyu alivuka kiwango cha kutokubalika maana hajui hata kuhubiri kazi yake ni kutoa matumaini tu mazurizuri kwa waumini na kisha kuombea watu na hata kuwataka walishike vazi lake ili kupata baraka kisha inafuata promo ya miujiza.

Nilishaona pale ni 0 lakini nikashangaa kuona watu wanamshangilia na wanajazana kanisani kwake ndipo nilipobaini shida kubwa ya sisi wabongo kwa kupigwa kijinga.

Hakuna cha nabii hapa wala BULLDOZER, MWAMPOSA, MITI MINGI n.k ijapo hawa kwangu wana unafuu kwenye mahubiri yao kwamba si haba wanajitahidi kuwa huwezi toka kapa ila sio mazingaombwe yao ya kuombea.

Mkome.
 
Matayo 7:15-29 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Manabii Wa Uongo
15 “Jihadharini na manabii wa uongo wanaowajia wakiwa wamevaa ngozi ya kondoo, kumbe ndani ni mbwa mwitu wakali. 16 Mtawatambua kwa matunda yao.
 
jamaa ni tapeli haswaa. Kuna video clip flani hivi ipo Youtube inaonesha eti jamaa anatembea heawani wakati clearly kunasehemu alijishikilia kwa juu. Kuna nyingine ilionesha vitu ambavyo alidai kuwa ni malaika wakati ilionekana wazi wazi kwamba ni computer effects.
Hafu kuna mpuuzi anakuja kubisha kwamba ni kompyuta kweli
 
Ndiyo maana Mbeya kila Mtu ana Kanisa lake kuepuka mambo ya kuchukuliana Sadaka...............Kwani nikiwa na Kanisa langu mimi na Familia yangu tatizo ni nini Mungu siyo yuleyule............????!!!
Na Biblia ni ile ile ,Ha ha ha kwa kweli tunakoelekea hukombele kila mtu atakua na la kwake nyumbani.
 
Huu ni wizi na utapeli na nadhani polisi wanapaswa kumchunguza na kumkamata.
 
MIMI NAULIZA TU NDUGU ZANGU WAKRISTO, HIVI VYEO VYA UTUME NA UNABII MNAPEWA NA NANI? NA HUYO ANAEKUPENI ANAFANYA HIVYO KWA MAMLAKA YA NANI? YA MUNGU AU YA BINAADAMU?
 
Back
Top Bottom