Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo video mbona hamnaHalafu mwishowe nabii anauliza "Is he crazy? are you sure you are okay?"; sasa nabii anashindwaje kujua kama huyo mtu ni kichaa?
Mkuu,Siku hadi siku ALLAH anawaonesha vitu wazi kabisaa juu ya hawa wanaojiita Mitume,
Lkn sisi binaadam kulielewa hilo swala haiwezekani.
Jamaa ameshushuliwa hadharani kabxaa,bado waumini wakiambiwa neno na huyo Mtume Uchwara wanashangila[emoji1321]
Hapa ni dhahiri inaonesha sisi waafrika akili zetu huwa zinakuja saa6 usiku na saa 12 asubuhi zinaondoka[emoji1321]
Imekuwepo hapo kwa miaka mingi, naona huyu tapeli bushiri kafanya mchezo wa copyright claim ili youtube waishushe video, maana ni content yake na ana haki nayoHiyo video mbona hamna
Siku Bushiri aki-fall,Baba yao Ibilisi anamtengeneza Bushiri mwingine. So the circle goes on and on...Ukiangalia video clips nyingi za huyu bwana mchungaji Abushiri ndani ya Youtube utagundua ni kiasi gani alivyo fake.
Anawadanganya waumini wake kwamba ana uwezo wa miujiza kumbe hana.
Kuna Jamaa amejitokeza kumchana live na kuanzisha campaign ya "Bushiri must fall"
Mungu asaidie ifike siku Bushiri ashindwe katika Jina la Yesu Kristo.