Nabii Bushiri aaibishwa na muigizaji aliyemlipa kutoa ushuhuda wa uongo stejini

Nabii Bushiri aaibishwa na muigizaji aliyemlipa kutoa ushuhuda wa uongo stejini

 
MASOKO YA WAJINGA SUGU YAKO HUKO AFRICA, HAWA NDIO MTAJI WA WATU WA SIASA, WAGANGA WA KIENYEJI NA MANABII FAKE!!!!
 
Siku hadi siku ALLAH anawaonesha vitu wazi kabisaa juu ya hawa wanaojiita Mitume,
Lkn sisi binaadam kulielewa hilo swala haiwezekani.
Jamaa ameshushuliwa hadharani kabxaa,bado waumini wakiambiwa neno na huyo Mtume Uchwara wanashangila[emoji1321]
Hapa ni dhahiri inaonesha sisi waafrika akili zetu huwa zinakuja saa6 usiku na saa 12 asubuhi zinaondoka[emoji1321]
Mkuu,
Hivi Allah ndio God huyu wa uyahudini?!
 
 
Watu watakao kutana peponi(mbinguni) watashangaana sana ni kama kusema wema wanaenda motoni na wabaya wanaenda mbinguni hii inatokana na walio ktk dini wanaishi maisha ya unafiki na wasioenda hekaluni au msikitini wanaishi bila unafiki na wako real.
NB; Mungu hapendi unafiki. Yaani unaenda kanisani au msikitini eti kisa tu tamaa za kwenda mbinguni au peponi.
 
 
Bora waswagwe hivyo hivyo ..wawe kondoo ili amani iwepo maana WANAOGOPA dhambi na unyama utapungua...

Siku binadamu akigundua na kujihakikishia kitu.. .shida itaanza hapo ... ...
 
 
 
Ukiangalia video clips nyingi za huyu bwana mchungaji Abushiri ndani ya Youtube utagundua ni kiasi gani alivyo fake.
Anawadanganya waumini wake kwamba ana uwezo wa miujiza kumbe hana.
Kuna Jamaa amejitokeza kumchana live na kuanzisha campaign ya "Bushiri must fall"
Mungu asaidie ifike siku Bushiri ashindwe katika Jina la Yesu Kristo.
Siku Bushiri aki-fall,Baba yao Ibilisi anamtengeneza Bushiri mwingine. So the circle goes on and on...

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
 
Back
Top Bottom