FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #401
Mwamposa aache ubahili aajiri mkalimani mwenye taaluma yake.
Nimechafukwa.... Huyu mdada anaetafsiri kwenda Kiingereza anakera aisee, hamna kitu kabisa. Bila shaka hana taaluma yoyote ya ukalimani, yupo anapayuka tu shenztyp!.