Nabii Daudi Mashimo: Yanga kufanyiwa maombi

Nabii Daudi Mashimo: Yanga kufanyiwa maombi

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
41,728
Reaction score
103,997
[emoji4][emoji116]
IMG-20210918-WA0005.jpg
 
Amechelewa,sisi tulisha piga dua zetu kabla ya mechi ya kwa Mkapa na mzee baba wa mbinguni alizipokea ndo maana uto walipigwa kamoja.
 
Dah! Ila Wananchi tuna hali ngumu!! Na Mwalimu mwenyewe ndiyo yule. Ana kikosi kizuri na kipana, lakini ndiyo hivyo tena! anawapanga average players kuanza kwenye mechi ngumu!
 
Mchungaji, wenzako wameroga teyari sasa hayo maombi watakubali kuyafanya vipi?! Anatakiwa mtu akimuomba na kumtegemea Mungu ajiepushe kabisa kuchanganya mafile mala urozi mara maombi wapi na wapi
 
Back
Top Bottom