Nabii feki Uegber Angel adai Rais mstaafu wa Zambia Lungu alikufa kwa sababu alimkatalia kuingia Zambia

Nabii feki Uegber Angel adai Rais mstaafu wa Zambia Lungu alikufa kwa sababu alimkatalia kuingia Zambia

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Nabii feki Uegbert Angel toka Zimbabwe amedai mbele ya misukule inayomwabudu kuwa kifo cha Rais mstaafu wa Zambia Hayati Edgar Chagwa Lungu kimesababishwa na yeye kuzuiliwa kuingia nchini Zambia enzi za uhai wa Lungu. Amedai Hayati Lungu alimzuia kuingia Zambia.

Ikumbukwe huyu nabii feki alitajwa na Aljazeera kwenye kashfa ya biashara haramu ya madini nchini Zimbabwe. Huyu ni miongoni mwa wahuni wanaojichote dhahabu ya Zimbabwe. Sio mtu mwema hata kidogo.


View: https://www.facebook.com/share/v/1Cd8sweiAa/
 
Huku kwetu Tz ma nabii feki ni Mwamposa,Geodavie,Kapola,Suguyu,Malisa,Edmond,nabii IPM...
 
Watu mna Mishida kibaaaooooo bado mnaamini Sanaa za maonyesho, hakuna nabii wala mtume Dunia hii
 
Baba yake tapeli Tony Kapola Swahiba wa Bashite wa CCM
 
Huku kwetu Tz ma nabii feki ni Mwamposa,Geodavie,Kapola,Suguyu,Malisa,Edmond,nabii IPM...
Ila Mwamposa alimchangia mama Yako 50m kwenye kampeni vp mbona double standard?
images (3) (26).jpeg
 
Back
Top Bottom