Nabii Flora wa Mbezi Beach

Nabii Flora wa Mbezi Beach

Status
Not open for further replies.
Manabii wanaweza wakawa wengi iwezekanavyo lakini je ni wa ukweli au uongo?
 
hakika siku ya hukumu kutakuwa na vituko vya kila aina!! SI KILA AITAYE BABA, BABA, ATAKAYEUONA UFALME WA MUNGU! napita tu hapa, kwa kasi ya kimondo!
 
ameolewa?? nauliza tu!! maana mumewe ni wa kuhurumiwa pia!
 
kheeeeeeeeee mweh!
ama!
lahaaula!
kudadadeki!
maamaaa!
haya twende !TUTAFIKA TU!
 
Bila shaka kanisa lake litawajaza sana wakina baba fulani......
 
Lakini maandiko matakatifu ya Biblia yanasema watajitokeza manabii wa uwongo, hivyo mimi simshangai huyo Flora.
 
Mnakosea sana mnapoyaita "makanisa ya kiroho", jina sahihi ni "makanisa ya waroho"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom