Nabii Flora wa Mbezi Beach

Nabii Flora wa Mbezi Beach

Status
Not open for further replies.
Kuran bila Biblia ni sawa na nyumba bila msingi. Ni sawa na kupe anavyodai eti naye ni sehemu ya ng'ombe

Ni kinyume (it is the opposite).

Biblia bila Quran ni sawa na nyumba bila msingi.
 
DVCI0087.JPG
Nabii Flora
 
Kama 'kujichubua', dada huyu 'kajichubua' kweli kweli !!
Vinginevyo, labda taratibu anapoteza rangi yale ya asili na kuwa 'mzungu' !!
Duh !!
 
msaada jamani! imani ya nabii huyu na yule nabii Mkumbo ni sawa sawa au?
 
Hilo kanisa litakua na wanaume wengi sana.

Kwa mzee wa upako, wamejaa wanawake.
Flora akiwa mke wa Mzee wa upako, na wakaunganisha makanisa yao, bila shaka watapata waumini wengi wanaume na wanawake!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom