Mahmood
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 7,908
- 2,478
Kuran bila Biblia ni sawa na nyumba bila msingi. Ni sawa na kupe anavyodai eti naye ni sehemu ya ng'ombe
Ni kinyume (it is the opposite).
Biblia bila Quran ni sawa na nyumba bila msingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuran bila Biblia ni sawa na nyumba bila msingi. Ni sawa na kupe anavyodai eti naye ni sehemu ya ng'ombe
View attachment 81293
Nabii Flora
Malkia YezebelView attachment 81293
Nabii Flora
Malkia Yezebel
Naanza kuelewa ni kwa nini makanisa mengine hayaruhusu mwanamke kuwa kasisi!Nabii mrembo hivyo!
Flora akiwa mke wa Mzee wa upako, na wakaunganisha makanisa yao, bila shaka watapata waumini wengi wanaume na wanawake!Hilo kanisa litakua na wanaume wengi sana.
Kwa mzee wa upako, wamejaa wanawake.