Nabii mrembo hivyo!
wakati yupo misri sasa yupo nchi ya ahadi amesafishwa na damu ya Yesuheee mbona kajichubua hivyo?
umeona mbali sana aisee....Hilo kanisa litakua na wanaume wengi sana.
Kwa mzee wa upako, wamejaa wanawake.
Wacha niwe baba mchungaji
Na kuna watu wanaamini huyu ni Nabii.