Nabii Geor Davie asababisha ndoa kuvunjika

Mungu huwa havunji ndoa kiazi wewe
 
Siku hiz makanisa yote hao RC ndio usiseme.
 
Sifa ya mitume na manabii wa uongo wana JINI MAHABA; kama waganga wa kienyeji.
Mmoja maarufu, wanamwita "ZIPU MKONONI" !
Sasa fikiria mchungaji wako sijui nabii wako anajiita Zipu Mkononi halafu bado unaenda kusali huko au una ruhusu mkeo akaombewe huko. Over my dead body!
 
Utaniuliza dhambi ninini?
Dhambi ni tendo lolote lile ambalo lina madhara kwako na kwa wengine, linaharibu moyo na kutibua fikara, linaleta matokeo hasi na mambo yote ya jinsi hiyo.
 
.
 
Nabii wa mchongo ana mazoba kibao wanaomkubali.
Yeye akifanikiwa kuvunja ndoa anafurahia, akisifiwa na mashehe(anawatonya obviously) au bondia akienda kwake kuomba baraka yeye ndiyo promo kwake.
Ngoja apambane na Lema tuone vita itaenda vipi.
 
Mshana ukimwachia mkeo anakula hivyo hivyoo hakuna Cha mshana Wala Nini so Kaa Kwa kutulia acha kuita fisi kwenye mabucha ya nyama unaniambia mshana aone kitu kizuri akatae kukila Kwa sababu ??mbaya zaidi anajua kuleta na kutoa support za nguvu shauri yako
 
Joe devi sijui ,
1.msiangalie matendo yao angalieni wanachotoa midomoni mwao.

Joe devi huyu Mzee ni mwanaume anadude so kama mnataka akae tu .

Asile chakula woii acha hizooo joe sijui john haya maisha mafupi piga fimbo Mzee baba wanakuja wenyewe wanajilengesha fanya yako .

Asikutibue kimenuka kana halafu mpe maisha mama ale Raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…