Nabii Geor Davie asababisha ndoa kuvunjika

Nabii Geor Davie asababisha ndoa kuvunjika

Hayo Ni matukio tu, kuna nabii katika biblia, David. Huyu mungu alimpenda sana ata ikabidi Yesu aitwe mwana wa Daudi. Katika agano jipya inakumbukwa wakati mungu akikiri " nimempata Daudi mwana wa Yese ambaye moyo wake umenielekea" . Lakini Daudi ni mfalme aliyeua sana hata mungu alikiri alijaa damu mikononi, Daudi alitembea na Mke wa mtu ,na kumuua mume wake, na kupora Mke. Daudi hakujua kulea familia yake ata watoto wake waligegedana na kuuana. Daudi alikua na mtoto Absalom aliyeandaa jeshi la kumpindua na kumuua. Na Absalom alilala na wake wote wa Daudi hadharani juu ya dari na watu waliona, na hata hivyo mungu alikua na Daudi na roho wake mpaka mwisho wa maisha yake. Uzeeni mungu hakumsahau hata alipewa bikira kumpa joto. Sa nyie mnasema nini, itakua iyo ya Joe Davie ya mtelezo, acheni watumishi wa mungu bwana

stupid!!!

Daudi alizini, akaadhibiwa na itwas one time only

huyu malaya na kahaba la kiume....lilikuwa linazoea na mpaka linafanyia kwenye gari kwenye premises za ndoa ya mwanamke!!!!! umfananishe na Daudi??

kesho atakulala na wewe ndio utaamini ni firauni!
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa! Yani kabisa kuna watu wanataka kuwafananisha mitume na manabii wa enzi za Kristu na hawa wa Leo...!!! Jamani ama kweli imani mzigo ukiwa mvivu wa kusoma maandiko na kuyaelewa
 
Ni makosa makubwa sana sana kujaribu kuwafananisha kwa namna yeyote yule manabii wa zamani na wa sasa...!!!
Neno liko very clear kuwa nyakati za mwisho watatokea manabii wa uongo watakaokuwa na uwezo hata wa kutenda miujuliza mbalimbali ikiwemo kuhamisha milima lakini tunaambiwa ya kwamba TUSIWAAMINI HAO....!!!

Kwanini unasema ni makosa makubwa kufananisha manabii wa zamani na wa ss mkuu?

Yesu alisema ' jihadharini na manabii wa uongo lkn hakumaanisha wa kweli hawatakuwepo'
Bt ni kuwa makini ktk wale wa kweli na waongo watakuwepo!

Kumbuka biblia inasema ' atapigwa mchungaji na kondoo watatawanyika!
Na ndicho shetani anachofanya !....kwa sababu anajua akishamwangusha mtumishi automatically wengi wa waumuni watarudi nyuma! !
All in all still manabii wa uongo wapo na wa kweli wapo!

Cha mhim uwe na Roho Mtakatifu uweze kujua walio wake!
 
Watu wangu 'wanaangamizwa' kwa kukosa maarifa sio 'wanaangamia' kwa kukosa maarifa
 
Kwanini unasema ni makosa makubwa kufananisha manabii wa zamani na wa ss mkuu?

Yesu alisema ' jihadharini na manabii wa uongo lkn hakumaanisha wa kweli hawatakuwepo'
Bt ni kuwa makini ktk wale wa kweli na waongo watakuwepo!

Kumbuka biblia inasema ' atapigwa mchungaji na kondoo watatawanyika!
Na ndicho shetani anachofanya !....kwa sababu anajua akishamwangusha mtumishi automatically wengi wa waumuni watarudi nyuma! !
All in all still manabii wa uongo wapo na wa kweli wapo!

Cha mhim uwe na Roho Mtakatifu uweze kujua walio wake!
christine ibrahim kwanza mimi ni mkristo hasa na napenda maandiko na nakubali manabii wapo, lakini lililo wazi ni kwamba hawa wa kweli hawajitangazi wala kujiinua bali huinuliwa na asilimia kubwa wanaishi mbali kabisa na miji na maisha yao ni very simple hawana makuu

Hapa nawazungumzia hawa waliotapakaa mijini wenye mashauzi na sifa nyingi, wezi na wapiga dili chafu, wana Suti kalikali na magari ya kifahari ni watu wa kujisifu na kupenda kuponda na kukosoa wengine, wanajitangaza kwenye vyombo vya kibiashara na wanalipia matangazo kwenye vyombo vya habari, wana utajiri wa kutisha na bado wanazidi kuwakamua waumini maskini kabisa kila senti
Wanapenda mambo ya uchawi na kuloga wana maisha ya anasa na ni walafi wenye kufanya zinaa na waumini wao, kwa ufupi ni wadhambi kuliko hata muumini wa kawaida
 
Last edited by a moderator:
stupid!!!

Daudi alizini, akaadhibiwa na itwas one time only

huyu malaya na kahaba la kiume....lilikuwa linazoea na mpaka linafanyia kwenye gari kwenye premises za ndoa ya mwanamke!!!!! umfananishe na Daudi??

kesho atakulala na wewe ndio utaamini ni firauni!
Yes aliadhibiwa kwa kumuua mtoto wa kwanza wa bethsheebah kwa daudi ,lakini aliyefuata ni Solomon.Ahadi iliendelea
 
mhuni mhuni tu huyu
mzinzi mkubwaa

Warumi 14: 3 Wewe u nani unayemhukumu
mtumishi wa mwingine? Kwa bwana
wake mwenyewe yeye husimama au
huanguka. Naam, atasimamishwa, kwa
kuwa Bwana aweza kumsimamisha.
 
Imani zingine ni balaa mtu anafanya uchafu alaf watu wanatetea tena kwa kutoa aya kwenye biblia.Lakini sawa km kitabu chenyewe kinafundisha uovu huu tena kwa mifano kutoka kwa manaabii waumin hawanabudi kufuata ila naamin hiki kitabu kipo kwa ajili ya kudunisha akili za watu.
 
.. hivi hawa watu wanao fanya maovu haya inakuaje "bwana Yesu" awajaalie vipawa vya kutoa Majini na kuagua Wachawi

Wataalam wa Neno , hebu tupeni LEKCHA
 
Imani zingine ni balaa mtu anafanya uchafu alaf watu wanatetea tena kwa kutoa aya kwenye biblia.Lakini sawa km kitabu chenyewe kinafundisha uovu huu tena kwa mifano kutoka kwa manaabii waumin hawanabudi kufuata ila naamin hiki kitabu kipo kwa ajili ya kudunisha akili za watu.

Usihukumu kitabu kitakatifu kwa ajili ya post moja ya mtu ambaye hata humfahamu na bila kujali asili ya huo mstari alioquote na mwendelezo wake, huwezi kupata tafsiri sahihi ya Bible au Quran kwa kusoma mistari michache tu....hata vitabu vya kawaida pia
 
after 1000 yrs makanisa mengi na misikiti yatakuwa magodown au migahawa.

Siyo kweli shalet na historia inaonyesha mataifa makubwa kama France yalijaribu kupiga marufuku dini yakaanguka na kuruhusu dini. Dini inafundisha mema na shetani anataka mabaya. Ukiona mwenye dini anatenda mabaya basi huyo amekana dini, na wapo wengi lakini hawaondoi uzuri wa dini.
 
Last edited by a moderator:
Huyu nabii na mtume atakuwa na sifa za mtume wa wai...ya kutabiri kuwa "Mola kaniambia nitabiri kuwa wewe unatakiwa kum.vuli.a mtume wake ili ubarikiwe!! Ha ha haaa. Ataishia kuoa na katoto ka miaka 9 kama mwenzie!!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Ndoa ya Winstone lota na Pamela Geoffrey(sio Godfrey) haikua sahihi mbele za Mungu, na aliyeivunja sio GeorDavie Bali ni Mungu.....na ingetakiwa ivunjike muda mrefu uliopita ila ni kwa uvumilivu wa Pamela ndo ikafika hio miaka 8.

anaejuahao wawili vizuri basi atapita tu na kucheka comment zenu, mkae kumsubiri mtoto wa hawa wawili aliyesema hizo habari miaka kumi ijayo kama atasimama na hayo maneno yake. Time will tell.
judge aliyeamua hio kesi kalaaniwa tayari.... Based in the fact that hakuna haki kwa wanawake....kabisa and without a doubt amehongwa.
mumuache Pamela, she has the right to leave abusive relationship and GeorDavie has nothing to do with their failed marriage.

get a life people and be busy with your business
 
Ndoa ya dada yangu nayo haina muda mrefu itafia kwenye huyu jamàa,sijui anawapaga nn hawa watu...huyu geordavie
 
christine ibrahim kwanza mimi ni mkristo hasa na napenda maandiko na nakubali manabii wapo, lakini lililo wazi ni kwamba hawa wa kweli hawajitangazi wala kujiinua bali huinuliwa na asilimia kubwa wanaishi mbali kabisa na miji na maisha yao ni very simple hawana makuu

Hapa nawazungumzia hawa waliotapakaa mijini wenye mashauzi na sifa nyingi, wezi na wapiga dili chafu, wana Suti kalikali na magari ya kifahari ni watu wa kujisifu na kupenda kuponda na kukosoa wengine, wanajitangaza kwenye vyombo vya kibiashara na wanalipia matangazo kwenye vyombo vya habari, wana utajiri wa kutisha na bado wanazidi kuwakamua waumini maskini kabisa kila senti
Wanapenda mambo ya uchawi na kuloga wana maisha ya anasa na ni walafi wenye kufanya zinaa na waumini wao, kwa ufupi ni wadhambi kuliko hata muumini wa kawaida

Mkuu umeongea point sana, na hata Yesu Kristo pamoja na kufanya miujiza mingi sana hakuwah kujitangaza wala kujisifia!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom