Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #121
Watu wanafikiri ukiwa nabii sijui mtume ndo hawezi kukosea...mitume wengi na manabii ukisoma maandiko utaona walikosea na wakatubu na kusamehemewa...lkn niw days watumishi km wakikosea baadala ya kuwaombea Wapate rehema zaidi wasimkosee mungu bali huchukua jukumu la Mungu la kuwahukumu.
Ni makosa makubwa sana sana kujaribu kuwafananisha kwa namna yeyote yule manabii wa zamani na wa sasa...!!!
Neno liko very clear kuwa nyakati za mwisho watatokea manabii wa uongo watakaokuwa na uwezo hata wa kutenda miujuliza mbalimbali ikiwemo kuhamisha milima lakini tunaambiwa ya kwamba TUSIWAAMINI HAO....!!!