Nabii Geor Davie asababisha ndoa kuvunjika

Watu wanafikiri ukiwa nabii sijui mtume ndo hawezi kukosea...mitume wengi na manabii ukisoma maandiko utaona walikosea na wakatubu na kusamehemewa...lkn niw days watumishi km wakikosea baadala ya kuwaombea Wapate rehema zaidi wasimkosee mungu bali huchukua jukumu la Mungu la kuwahukumu.

Ni makosa makubwa sana sana kujaribu kuwafananisha kwa namna yeyote yule manabii wa zamani na wa sasa...!!!
Neno liko very clear kuwa nyakati za mwisho watatokea manabii wa uongo watakaokuwa na uwezo hata wa kutenda miujuliza mbalimbali ikiwemo kuhamisha milima lakini tunaambiwa ya kwamba TUSIWAAMINI HAO....!!!
 
Mnalikosea sana jina la nabii, nabii hawezi kuwa mzinzi
 
Ni makosa makubwa sana sana kujaribu kuwafananisha kwa namna yeyote yule manabii wa zamani na wa sasa...!!!
Neno liko very clear kuwa nyakati za mwisho watatokea manabii wa uongo watakaokuwa na uwezo hata wa kutenda miujuliza mbalimbali ikiwemo kuhamisha milima lakini tunaambiwa ya kwamba TUSIWAAMINI HAO....!!!

Ni kweli kabsa watatokea manabii wa uongo nao tutawatambua kwa matendo yao.....hivyo basi usidhani ya kuwa manabii walikuwepo zamani tu hata sasa wapo maana kanisa limejengwa kwa misingi ya mitume na manabii na ndio maana kuna karama za roho mt...so wale walio wamungu wakijua wamekosea hujirudi na kutubu bali wa yule baba wa uongo huendeleza maana nfio kazi yao kuharibu lakini vilevile tusiwe watu wakuendeshwa kwa kutuhuma bali tumwombe Mungu atufunulie ukweli na kuomba sana
 
Huyo nabii wako ametubu wapi?

Naomba nimalizie mkuu,mtu anajiita Boanerge hivi unajua maana yake au ndo mbwembwe tuuuu.Mungu kwenye Biblia amesema wazi watakuja mitume na manabii wakidai walikuwa wanafanya kazi kwa kutumia jina lake na atawakataa atasema siwajui ninyi a huyo mbwiga wa R Chuga yumo#mitumefeki@makanisa ya kinaigeria
 
nachukiaa sana hii mambo,japo kila mtu ana uhuru wa kuabudu.ila mtu anajifanya mlokole tena nabii anakamua wake zetu nomaa kweli
 
Nabii maarufu wa kanisa la ngurumo ya upako,Geor Davie amevunja ndoa ya msaidizi wake baada ya kumppora mke wake.

Wiki hii mahakama ya Arusha imethibitisha pasipo shaka kuwa Nabii huyo alikuwa akizini naambaye alikuwa mke wa msaidizi wake. hivyo ilikubali kuvunjika kwa ndoa hiyo .
 
Hii habari ilishawekwa huku muda. ..Muwe mnapitia pitia habari zilizoko kabla ya kupost bana. ...
 
Nabiii huku umedinda mi ndio maana ukiniletea umbweha wa kuokoka hata sikuelewi kabisa

Hayo Ni matukio tu, kuna nabii katika biblia, David. Huyu mungu alimpenda sana ata ikabidi Yesu aitwe mwana wa Daudi. Katika agano jipya inakumbukwa wakati mungu akikiri " nimempata Daudi mwana wa Yese ambaye moyo wake umenielekea" . Lakini Daudi ni mfalme aliyeua sana hata mungu alikiri alijaa damu mikononi, Daudi alitembea na Mke wa mtu ,na kumuua mume wake, na kupora Mke. Daudi hakujua kulea familia yake ata watoto wake waligegedana na kuuana. Daudi alikua na mtoto Absalom aliyeandaa jeshi la kumpindua na kumuua. Na Absalom alilala na wake wote wa Daudi hadharani juu ya dari na watu waliona, na hata hivyo mungu alikua na Daudi na roho wake mpaka mwisho wa maisha yake. Uzeeni mungu hakumsahau hata alipewa bikira kumpa joto. Sa nyie mnasema nini, itakua iyo ya Joe Davie ya mtelezo, acheni watumishi wa mungu bwana
 
Dah! Hii kali ya jana afadhali,hayo uyasemayo ni mafundisho ama? Na je yanafundisha nini? Kwa hiyo uzinzi,mauaji na uchafu woote huo bado ni NABII na mungu alimzawadia na bikra uzeeni ili apate joto. Aikili iliohuru ni ngumu kuzikubali ngano hizo.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
Soma biblia ,mambo ya nyakati , utaona. Na kwa taarifa yako, mtoto Suleiman ,yule mfalme mwenye hekima nyingi alizaliwa kwa ahadi ya mungu kupitia bathsheebah,yule mwanamke alieibwa na Daudi baada ya kumuua mume wake kwa hila. Sasa jiulize ,kwa nini mungu hakumpa mtoto wa ahadi kupitia wake zake wa halali?
 
Hayo Ni matukio tu, kuna nabii katika biblia, David. Huyu mungu alimpenda sana ata ikabidi Yesu aitwe mwana wa Daudi. Katika agano jipya inakumbukwa wakati mungu akikiri " nimempata Daudi mwana wa Yese ambaye moyo wake umenielekea" . Lakini Daudi ni mfalme aliyeua sana hata mungu alikiri alijaa damu mikononi, Daudi alitembea na Mke wa mtu ,na kumuua mume wake, na kupora Mke. Daudi hakujua kulea familia yake ata watoto wake waligegedana na kuuana. Daudi alikua na mtoto Absalom aliyeandaa jeshi la kumpindua na kumuua. Na Absalom alilala na wake wote wa Daudi hadharani juu ya dari na watu waliona, na hata hivyo mungu alikua na Daudi na roho wake mpaka mwisho wa maisha yake. Uzeeni mungu hakumsahau hata alipewa bikira kumpa joto. Sa nyie mnasema nini, itakua iyo ya Joe Davie ya mtelezo, acheni watumishi wa mungu bwana

Kwa hiyo anamlipizia daudi au sio? Acheni kubebana na kwa kushabikia ujinga kwa kutoa refference za kishenzi na kuzitumia kufanya ufwara wenu nyie walokole mamruki. MUNGU ASHABIKII UJINGA WOWOTE ULE HILO NDIO JAMBO LA KUWEKA KICHWANI .
 
Mungu ni mkamilifu, na angeishi na sisi kwa kipimo hicho hakuna mtu ambaye angesimama naye, kwa hiyo yanapotokea mimi sihalalishi lakini siezi capitalize. Mkamilifu alikua Yesu tu katika walio na mwili. Unaeza ukaona namtetea,Bali mimi natoa évidence tu nilizoziona katika biblia.
 
Huyu jamaa watetezi wake wamefungwa na nira za kumwamini kulikopitiliza, lakini ukweli ni kwamba jamaa ni kahaba la kiume mwizi na tapeli mkubwa
Ingetokea mara moja moja tena bila kupanga tungesema kajaribiwa na shetani na kuanguka dhambini, lakini kitendo cha mpaka kuvunja ndoa ya muumini wako!! Anayekuja kwako kwa unyenyekevu na kumuombea akijua wewe ni mtakatifu na huna mawaaa!!!! Hapana jamani
Ana utajiri wa kutisha, nagari ya kifahari na walinzi wengi mno, anahubiri asichoamini anasema mlinzi wetu ni Yesu lakini yeye haamini katika ulinzi wake, kwa kifupi jamaa ni mchafu hatakasiki
 
Back
Top Bottom