Nabii Geor Davie asababisha ndoa kuvunjika

Hawa ni mafuska waliokubuhu. Kuanzaia yule nabii feki wa Nigeria TB joshua, Gwajima wa misukule, mwingira wa efatha, Joe devi, yule wa kimara wa miaka 50 kaacha mke na kuoa binti wa miaka 20 na wengi wapendao kujipa vyeo vya unabii ni mafuska wa kutupwa na wote hao niliowataja wamevunja ndoa za waumini wao kwa ufuska.

Kazi kwenu mnaowapa hizo sadaka wanzochezea.

Hatari sana mkuu.
 
Mahakama ya hakimu mkazi jijini Arusha leo imevunja rasmi ndoa ya bibi Pamela na mumewe baada ya kuthibitika pasi na shaka kuwa alikuwa na mahusiano nje ya ndoa na nabii Jodevi wa ngurumo za upako wa jijini Arusha.

Mtoto wa wanandoa hao mwenye umri wa miaka 15 ndiye aliyetoa ushadihi wote ukiwemo wa nabii kufika nyumbani na kupelekewa juice kwenye gari yake yenye vioo vyeusi na kukaa humo kwa muda mrefu na mamaake pia nabii kufika nyumbani usiku baba akiwa hayupo na kuambiwa akalale huku nabii akibaki na mama sebuleni muda mrefu akifanyiwa maombi maalum

Vile vile ushahidi na msg za simu na kwenye laptop na mambo mengine mengi yamethibitisha pasi na shaka mahusiano ya wawili hao na hatimaye mahakama kuamua kuvunja ndoa hiyo takatifu

Chanzo: Wapo radio

Waacheni wafu wazikane kwa wafu.
 
Mwamini Mungu wako tu fuata njia ya haki na jiepushe na dhambi, imani safi ni kutazama wagonjwa kusaidia yatima na wajane na kujilinda na dunia usitende dhambi

Utaniuliza dhambi ninini?
Dhambi ni tendo lolote lile ambalo lina madhara kwako na kwa wengine, linaharibu moyo na kutibua fikara, linaleta matokeo hasi na mambo yote ya jinsi hiyo

MENGINE WAACHIE WALIMWENGU

asante sana kwa kuipendezesha siku yangu
 
ukitaka kuwa na amani achana na dini kama mimi dini karibia zote mtaji wake mkubwa ni ujinga wa watu after 1000 yrs makanisa mengi na misikiti yatakuwa magodown au migahawa.

Ghafla u mejipa unabii na kuweza kutabiri kuhusu makanisa na misikiti huku ukiwa hujui hata ni kitu gani kitakutokea wewe mwenyewe kwenye nukta ijayo,hii ni ajabu sana

Unaweza kujua mambo yajayo ya makanisa na misikiti lakini hujui mambo yanayokuhusu wewe ya maisha ya mbele ambayo ni faida yako na familia yako .....!
 
kuna baadhi ya vitu ni rahisi ku predict vingine ni vigumu lakini unajua jinsi dini zilivyotuambia kuwa dunia ni tambarare, elisha kasimamisha jua (bible) quran ndio aibu kabisa hata kuanza kuichambua its a matter of time kuzitupilia mbali hizi dini na stori zake za kusadikika.
 
shalet Mungu amekusamehe tayari
 
Last edited by a moderator:
Watu wanafikiri ukiwa nabii sijui mtume ndo hawezi kukosea...mitume wengi na manabii ukisoma maandiko utaona walikosea na wakatubu na kusamehemewa...lkn niw days watumishi km wakikosea baadala ya kuwaombea Wapate rehema zaidi wasimkosee mungu bali huchukua jukumu la Mungu la kuwahukumu.
 
kuna baadhi ya vitu ni rahisi ku predict vingine ni vigumu lakini unajua jinsi dini zilivyotuambia kuwa dunia ni tambarare, elisha kasimamisha jua (bible) quran ndio aibu kabisa hata kuanza kuichambua its a matter of time kuzitupilia mbali hizi dini na stori zake za kusadikika.

Kwanza hujajibu ulichoki quote halafu unaongeza maswali,nini maana ya "sun rise"?
 
hawa manabii uchwara mmh kazi kweli kweli. Ngoja waumini wake waje na utetezi wa kiushuhuda!

Awe nabii,mtume,mchungaji,mwinjilisti,mwalimu,sheikh,imani,ustadh nk bado ni binadamu huyu huyu na udhaifu wake. Ifuate biblia au Koran sio mtu!
Wengi wa watu hawa wanatafuta pesa tu. Imekuwa ajira.
 
Kwanza hujajibu ulichoki quote halafu unaongeza maswali,nini maana ya "sun rise"?

dunia yetu ni duara na inajizungusha kwenye axis yake jua halitembei na lipo center kwenye solar system hiyo ni heliocentric view opposed to geocentric view sun rise na sun set ni matokeo ya dunia kujizungusha kwenye mhimili wake ambapo tunaona ncha ya jua ikichomoza from eastern horizon.

my point haiwezekani kusimamisha jua lisilomove.
 
Kuna nguvu inayotumika dunia haina uwezo wa kujizungusha yenyewe shalet, na hiyo nguvu ndio God conscious
 
Last edited by a moderator:
dunia yetu ni duara na inajizungusha kwenye axis yake jua halitembei na lipo center kwenye solar system hiyo ni heliocentric view opposed to geocentric view sun rise na sun set ni matokeo ya dunia kujizungusha kwenye mhimili wake ambapo tunaona ncha ya jua ikichomoza from eastern horizon.

my point haiwezekani kusimamisha jua lisilomove.

Wewe utakuwa na matatizo lazima

Nimekuuliza nini maana ya sun rise wewe unakua kunielezea mambo ambayo hata sijakuuliza
Unajua kusoma kweli ndugu yangu?
 
tatizo lako uko very offensive maelezo yangu yanatosha kuelezea sun rise na kwanini inatokea mara nyingine tena
sun rise:ni pale ambapo jua linaanza kuonekana polepole kutoka eastern horizon.
 
Watu wanafikiri ukiwa nabii sijui mtume ndo hawezi kukosea...mitume wengi na manabii ukisoma maandiko utaona walikosea na wakatubu na kusamehemewa...lkn niw days watumishi km wakikosea baadala ya kuwaombea Wapate rehema zaidi wasimkosee mungu bali huchukua jukumu la Mungu la kuwahukumu.

Ni kweli kabisa tunatakiwa tueaombee Sana hata Yesu aliwapandisha mlimani kwa ajili ya kuomba
 
Watu wanafikiri ukiwa nabii sijui mtume ndo hawezi kukosea...mitume wengi na manabii ukisoma maandiko utaona walikosea na wakatubu na kusamehemewa...lkn niw days watumishi km wakikosea baadala ya kuwaombea Wapate rehema zaidi wasimkosee mungu bali huchukua jukumu la Mungu la kuwahukumu.

Huyo nabii wako ametubu wapi?
 
Back
Top Bottom