Nabii Geor Davie asababisha ndoa kuvunjika

Wapo manabii na mitume ambao Mungu anawatumia na pia wapo wanaojifanya manabii na mitume/wa uongo.

Hatushangai hata bibilia imesema haya sio mageni...

Hakuna kitu kama hicho! Hakuna maandishi yaliyosema kutakuwa na mitume na manabii wakweli. Yesu alisema watakuja manabii wa uongo tu, inakuwaje ukifungua Kanisa tu unakuwa tajiri Kama sio Wajinga ndio waliwao?
Mungu ameacha vitabu tu. Hao woote ni majambazi wamejificha kwenye dini kazi yao ni kuwakamua waumini wapumbavu, muumini mwenye akili hawezi kutoa pesa yake kumpa mchunaji yoyote.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
Nabiii huku umedinda mi ndio maana ukiniletea umbweha wa kuokoka hata sikuelewi kabisa

Mie shawatimuaga watumishi watatu hom walikuwa eti wanasali usiku saa mbili! Nikarudi ze laga iko utosini nikawatimua!
 
GeordAvie amewapumbaza akili waumini wake wamekuwa mazuzu malimbukeni na usomi wao woootee hawana akili hatA moja rudini kwenye madhehebu yenu ya awali na muendelee kuishi bila dhambi kjsaidia yatima wajane wagonjwa na wote wenye shida ndo matendo yanayokuweka kafibu na Mungu na mujiepushe na dhambi kwenda kusali kwa hao manabii feki ni kijichafua Mungu yuko popote pale ni wewe tu na imani na matendo yako

Sasa wewe unachosema ni nini?. Huna tofauti na wana wa Israel walipolia wakikumbuka vitunguu saumu, matikiti ya misri utumwani. Ujui wengine hapo walikuwa wavuta bangi wanywa gongo wakamwamini Kristo Yesu kupitia injili ya joedavi?. Sasa warudi kwenye gongo ati eeh!. Acha zako wewe.
 
Huyu Pamela amekosa adabu sana, alikuwa ndio katibu wa kanisa pale ngurumo, siku za ibada kuna viti rasmi mbele vya wakuu wa kanisa na yeye bila aibu mume wake nae pamoja na watoto walikuwa wanasali hapo, nabii anawashika mkono kuwabariki kumbe anammegea jamaa mke wake, sasa akawa na mazoea ya kwenda nyumbani kwa nabii maana ni maeneo ya kisongo zilipo ofisi za kanisa, nabii anaeneo kubwa sana na analiita mjini mwa Daudi, mke wa nabii ana mkaribisha Pmela akijua ni mfanyakazi na mlokole mwenzao anamuacha aongee na nabii, siku moja wakajidai wanaenda kuongelea garden ya mji wa daudi mke kwa wema kapika chai apeleke kwa kuwa ilikuwa kipindi cha baridi, he, kufika haoni watu kuangalia kwenye gari akaona mtikisiko kumbe jamaa wanatiana humo ndani ya gari, ndio mke akaondoka. Baada ya hayo mume wa pamela akamwambia mke wake aache kusali hapo hata kama anakataa hawana uhusiano na nabii, pamela akawa mkorofi na akwa anaenda kusali hapo mume acha kwenda kanisani, ziara za Israel pamela akawa anaenda na Nabii bila kujali mume wake, akaanza kupigwa na mume, nabii akampangishia nyumba maeneo ya njiro na kumfanya kama nyumba ndogo kabisa, jeuri ya hela ndio ilimfanya pamela amdharau mume wake, kwni mume ni dereva wa watalii ingawa walikuwa na maisha mazuri tu na yumba nzuri ya kuishi walishajenga. Pamela akawa bosi pale GEORDIVIE MINISTRY, bila aibu wala kujali minong'ono. Hiyo ndoa alishavunjika siku nyingi talaka ndio ilikuwa bado.BABA NABII BAADA YA KUTOSHEKA NA PAMELA, AKAMUUNDIA ZENGWE KWAMBA MUMUO ANANICHAFUA SANA BORA UACHE KAZI HAPA NA UFANYA BIASHARA ZAKO NYINGINE, AKAACHA KAZI KUMBE NABII AALIKUWA ANAMTOA KIJANJA KWENYE HIMAYA YAKE, NABII KAMUACHA JUMLA PAMELA. SANA SANA KAAMBULIA PRADO TU. KAKOSA WANAUME WOTE WAWILI.
 
kanisani kwa Nabii anakwenda tena?
 
Wote uliowataja wamevunja ndoa?
Mkuu unaweza kututhibitishia ukiondoa wa arusha ambae mahakama imethibitisha?

Ufahamu wako ukirejea ndo utaelewa. kwa sasa hutaweza kwa kuwa nimfuasi wa hao matapeli.kwa kukusaida tu kanisa lazima iwe taasisi na sio mali ya mtu binafsi.Siku hizi manabii wengi wa uongo wametokea na kudanganya watu wengi huku wakizidi kuishi maisha ya anasa wakati waumini wao wakizidi kuwa maskini na watumwa wao.
 
Mkuu uliulizwa swali, nje ya Geodav ni mtumishi gani mwingine ambae imethibitika na mahakama pasi na shaka, kuwa na mienendo iliyo sababisha talaka?

Acha kuleta hadithi zako za ufaham ukifunguka,, JF si mahali pa kuleta blah blah!!
 
Huyu Pamela amekosa adabu sana, alikuwa ndio katibu wa kanisa pale ngurumo, siku za ibada kuna viti rasmi mbele vya wakuu wa kanisa na yeye bila aibu mume wake nae pamoja na watoto walikuwa wanasali hapo, nabii anawashika mkono kuwabariki kumbe anammegea jamaa mke wake, sasa akawa na mazoea ya kwenda nyumbani kwa nabii maana ni maeneo ya kisongo zilipo ofisi za kanisa, nabii anaeneo kubwa sana na analiita mjini mwa Daudi, mke wa nabii ana mkaribisha Pmela akijua ni mfanyakazi na mlokole mwenzao anamuacha aongee na nabii, siku moja wakajidai wanaenda kuongelea garden ya mji wa daudi mke kwa wema kapika chai apeleke kwa kuwa ilikuwa kipindi cha baridi, he, kufika haoni watu kuangalia kwenye gari akaona mtikisiko kumbe jamaa wanatiana humo ndani ya gari, ndio mke akaondoka. Baada ya hayo mume wa pamela akamwambia mke wake aache kusali hapo hata kama anakataa hawana uhusiano na nabii, pamela akawa mkorofi na akwa anaenda kusali hapo mume acha kwenda kanisani, ziara za Israel pamela akawa anaenda na Nabii bila kujali mume wake, akaanza kupigwa na mume, nabii akampangishia nyumba maeneo ya njiro na kumfanya kama nyumba ndogo kabisa, jeuri ya hela ndio ilimfanya pamela amdharau mume wake, kwni mume ni dereva wa watalii ingawa walikuwa na maisha mazuri tu na yumba nzuri ya kuishi walishajenga. Pamela akawa bosi pale GEORDIVIE MINISTRY, bila aibu wala kujali minong'ono. Hiyo ndoa alishavunjika siku nyingi talaka ndio ilikuwa bado.BABA NABII BAADA YA KUTOSHEKA NA PAMELA, AKAMUUNDIA ZENGWE KWAMBA MUMUO ANANICHAFUA SANA BORA UACHE KAZI HAPA NA UFANYA BIASHARA ZAKO NYINGINE, AKAACHA KAZI KUMBE NABII AALIKUWA ANAMTOA KIJANJA KWENYE HIMAYA YAKE, NABII KAMUACHA JUMLA PAMELA. SANA SANA KAAMBULIA PRADO TU. KAKOSA WANAUME WOTE WAWILI.

aiseeeee!!!
shikamooo jf
 
kwa wale manabii wa kike na mimi niko tayari kupata maombi maalumu ya usiku wa manane.

Na bwana awabariki sana
 
Dhambi hii ya watumishi kula kondoowao imeanza kipindi cha nyuma sana, Daudi alijikuta kwenye mtego wa kumtafunamke wa mpiganaji wake Uria mhiti, na baadaye dhambi hiyo ikapelekea mauwajiyake askari huyo shupavu. Pamoja na uhusiaono mzuri wa Daudi na Mungu badoshetani aliweza kupenyeza hiyo nguvu ya kukamata akili ya Daudi akiwamapumzikoni na kuitenda dhambi hiyo bila ya uoga wowote. 2samweli 11

Mungu hakufurahiswa na tendo hilo naakamua kumpa adhabu hii hapa chini kwenye sura ya 12;9 na kuendelea.
9 Kwanini umelidharau neno la Bwana, na kufanya yaliyo mabaya machoni pake? UmempigaUria, Mhiti, kwa upanga, nawe umemtwaa mkewe awe mke wako, nawe umemwua huyokwa upanga wa wana wa Amoni.
10 Basi,sasa upanga hautaondoka nyumbani mwako, kwa sababu umenidharau, ukamtwaa mkeweUria, Mhiti, kuwa mke wako.
11 Bwanaasema hivi, Angalia, nitakuondokeshea uovu katika nyumba yako, nami nitawatwaawake zako mbele ya macho yako, na kumpa jirani yako, naye atalala na wake zakombele ya jua hili.
12 Maanawewe ulifanya jambo lile kwa siri; bali mimi nitalifanya jambo hili mbele yaIsraeli wote na mbele ya jua.
13 Daudiakamwambia Nathani, Nimemfanyia Bwana dhambi. Nathani akamwambia Daudi, Bwananaye ameiondoa dhambi yako; hutakufa.
14 Lakini,kwa kuwa kwa tendo hili umewapa adui za Bwana nafasi kubwa ya kukufuru, mtotoatakayezaliwa kwako hakika yake atakufa.
15 NayeNathani akaondoka kwenda nyumbani kwake. Basi Bwana akampiga yule mtoto ambaye mkewe Uriaalimzalia Daudi naye akawa hawezi. Kiufupi mtoto huyu alikufa.

Nini nataka tujifunze kupitia mfano huu.
Kama kweli tuna mwamini MUNGU natunakili yupo, hakuna namna tutakwepa kuwa chini ya viongozi wa dini, yaani wachungaji, wainjilisti, maaskofu, mitume,manabii na nk. Kwa sababu mfumouliowekwa duniani ni wa kuongozwanakuongozana. Mungu anaweka maarifa kwa watu wachache wawafundishe wengine, ilekutengenezamfumo wa kutegemeana na kuheshimianaambazo ndizo nguzo za jamii ya aina Fulani kuisha pamoja.
Ukikataa kuwa chini yao, huwezi kupata sehemuya Mafanikio ya kimwili na kiroho ya halalikwani baadhi ya mambo kimsingi yamefungamanishwa na uwepo wao

2 Mambo ya Nyakati 20 : 20 Wakaamkaasubuhi na mapema, wakaenda nje katika jangwa la Tekoa; nao walipokuwawakitoka, Yehoshafati akasimama, akasema, Nisikieni, enyi Yuda nanyi wenyeji waYerusalemu; mwaminini Bwana, Mungu wenu, ndivyo mtakavyothibitika; waamininimanabii wake, ndivyo mtakavyofanikiwa.

Kwani tafsiri za MUNGU huja kwa wakati mwafakakupitia kwa watu wake walio na muda naye, na ndiyo maana aliamuru watumishiwatumie muda mwingi kumtafuta wakati wengine tunasaka matonge, ili nasitukapate walicho ambiwa wakiwa katka haki na utulivu wa kumtafuta MUNGU nawatuelekeze nasi tutekeleze na dunia isonge mbele.

Hii haimaanishi mtu hawezi kumtafuta MUNGU, lakini ni wangapiwana muda huo kama sio mpaka shida iingie ndo akufunge siku tatu kavu naikishaisha baada ya miezi miwili uko kama kawaida?
Kwa mantiki hiyo swala la uongozi wadini /dhehebu ni muhimu na haukwepeki, na ndio maana MUNGU hakumuondoa Daudibaada ya dhambi yake ila alimpa adhabu ambay o haiukumpata yeye tu bali hatauzao wake, wewe unayedhani utakwepa hili sio suluhu utaathirika tu ilimradiunamapenzi mema na unamtafuta MUNGU, ukitaka kukwepa mtumikie shetani asilimiamia, kwa sababu hata ukisikia habari mbaya kuhusu JEHOVA hutaumia moyo.
Wakati mwingine huwa nashangaa sana nasijui upofu huu unatoka wapi, Mkatolika anajiona ni bora kuliko Mlutheri hatakinyume chake pia, au mpentekosti ni bora kuliko mkatoliki hata kinyumechakepia, wakati wote wanamtafuta MUNGU huyohuyo na wanatumia muongozohuohuo(biblia) na wanaamini jahazi likizama kwa mwenzake yeye yuko salama, bila kujua adui wao wote niyuleyulena anafanya mashambulizi bilakujali wewe wa wapi. Bila umoja kipigo kipo palepale bila kujali dini yako
Tujikumbushe, mapadri na makadinari wanaskendo nyingi za ngono na kuzaa wakati hawatakiwi, je katolika haifedheheshi nahilo na kama we ni mkatoliki unakwepa hapo?, wakatolika wameacha kumwabdu MUNGUkwa sababu ya uovu wa viongozi wao? Wachungaji wa Kilutheri , kimoraviani na nkwana skendo hizo hizo, je wameacha kuenda makanisani, leo hii walokole nao wamo humohumo, sasa niambieatakwenda wapi ambapo pako salamaa? Au kila mtu awe na dini yake nyumbani kwake?
Mtu yeyote anayekwambia hamia mahali furani anamaarifa madogo na hajaua vita yetu sio yadamu na nyama. Maarifa hutafutwa popote matumizi ya maarifa ndio hufuata eneomaalumu, tafuta maarifa kokote komboa watu wa nyumbani, kanisani au nchinimwako. Usikubaliane na hoja nyepesi kuwa hapa ndo pa asili au hapa papya,sheteni alikuwepo kabla hujazaliwa, ishu sio upya au uasiliishue ni mkaribieni Mungu nae atawakaribia mpingeni shetani shetani nayeatawakimbia

Shetani anajua Mwenye maarifa ndio aduinamba moja hivyo watumishi wanawindwa zaidi kuliko waumini,26:31 Kisha Yesu akawaambia, "Usiku huuwa leo, ninyi nyote mtakuwa na mashaka nami, maana Maandiko Matakatifu yasema:`Nitampiga mchungaji, na kondoo wa kundi watatawanyika. Huwapiga hao ili waumini watawanyike, na kwasababu ya maarifa kidogo yawaumini hutawanyika na kuwa mawindorahisi kwa adui.Lakini pia tusisahau aliyetongozwa si mke wa mtu na ni muuminianayejua la kufanya? kwanini asiilinde imani yake kwa kukataaa? wkati anajuaakifanya hivyo anatuharibia wote kama waamini MUNGU, kwa sababu matusi yakekutoka kambi ya adui ni yetu pia.

Nashauri waamini tutumie vizuri silaha tulizo nazo, ogopa kupigana kwa kumsaidia adui,watumishi wako hatarini kuliko unavyodhani wanahitaji kuombewa na kulindwa kiimanina kimaumbile, ukimkatalia wewe na kumelekeza ipasavyo umemlinda. Lakini piatukue tumeabudu miaka nenda rudi mbona hatuendi mbele? Tufike mahali Tuanze kulachakula cha watu wazima, tukawasikilize watumishi na kisha tujenge imani na tujipiganie kwa mambo menginemaana imani huja kwa kusikia na kisha kuweka kwenye matendo. Sio kilawakati kuombewaombewa tu, jililieni wenyewe kwa maarifa mliopewa, mtapunguza fursa za kwenda kwenye ofisi za watumishi ambazo wakati mwingine ndio mitego.
 
Mwamini Mungu wako tu fuata njia ya haki na jiepushe na dhambi, imani safi ni kutazama wagonjwa kusaidia yatima na wajane na kujilinda na dunia usitende dhambi

Utaniuliza dhambi ninini?
Dhambi ni tendo lolote lile ambalo lina madhara kwako na kwa wengine, linaharibu moyo na kutibua fikara, linaleta matokeo hasi na mambo yote ya jinsi hiyo

MENGINE WAACHIE WALIMWENGU

Nimekupenda bure kwa neno safi la hekima
 
Huyu Pamela amekosa adabu sana, alikuwa ndio katibu wa kanisa pale ngurumo, siku za ibada kuna viti rasmi mbele vya wakuu wa kanisa na yeye bila aibu mume wake nae pamoja na watoto walikuwa wanasali hapo, nabii anawashika mkono kuwabariki kumbe anammegea jamaa mke wake, sasa akawa na mazoea ya kwenda nyumbani kwa nabii maana ni maeneo ya kisongo zilipo ofisi za kanisa, nabii anaeneo kubwa sana na analiita mjini mwa Daudi, mke wa nabii ana mkaribisha Pmela akijua ni mfanyakazi na mlokole mwenzao anamuacha aongee na nabii, siku moja wakajidai wanaenda kuongelea garden ya mji wa daudi mke kwa wema kapika chai apeleke kwa kuwa ilikuwa kipindi cha baridi, he, kufika haoni watu kuangalia kwenye gari akaona mtikisiko kumbe jamaa wanatiana humo ndani ya gari, ndio mke akaondoka. Baada ya hayo mume wa pamela akamwambia mke wake aache kusali hapo hata kama anakataa hawana uhusiano na nabii, pamela akawa mkorofi na akwa anaenda kusali hapo mume acha kwenda kanisani, ziara za Israel pamela akawa anaenda na Nabii bila kujali mume wake, akaanza kupigwa na mume, nabii akampangishia nyumba maeneo ya njiro na kumfanya kama nyumba ndogo kabisa, jeuri ya hela ndio ilimfanya pamela amdharau mume wake, kwni mume ni dereva wa watalii ingawa walikuwa na maisha mazuri tu na yumba nzuri ya kuishi walishajenga. Pamela akawa bosi pale GEORDIVIE MINISTRY, bila aibu wala kujali minong'ono. Hiyo ndoa alishavunjika siku nyingi talaka ndio ilikuwa bado.BABA NABII BAADA YA KUTOSHEKA NA PAMELA, AKAMUUNDIA ZENGWE KWAMBA MUMUO ANANICHAFUA SANA BORA UACHE KAZI HAPA NA UFANYA BIASHARA ZAKO NYINGINE, AKAACHA KAZI KUMBE NABII AALIKUWA ANAMTOA KIJANJA KWENYE HIMAYA YAKE, NABII KAMUACHA JUMLA PAMELA. SANA SANA KAAMBULIA PRADO TU. KAKOSA WANAUME WOTE WAWILI.

Hii stori nilishawahi isikia..
 
aisss!...
 
Hakuna kitu kama hicho! Hakuna maandishi yaliyosema kutakuwa na mitume na manabii wakweli. Yesu alisema watakuja manabii wa uongo tu, inakuwaje ukifungua Kanisa tu unakuwa tajiri Kama sio Wajinga ndio waliwao?
Mungu ameacha vitabu tu. Hao woote ni majambazi wamejificha kwenye dini kazi yao ni kuwakamua waumini wapumbavu, muumini mwenye akili hawezi kutoa pesa yake kumpa mchunaji yoyote.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk

Mungu wangu!
Mkuu hivi unasoma biblia kweli?Yesu alisema' jihadharini na manabii wa uongo' na hakuwa na maana manabii wa ukweli hawatakuwepo.
Biblia inasema ' neno la Mungu likae kwa wingi mioyoni mwenu'
Kwahyo usiwe unabisha vitu tu bora kuuliza!
Hebu soma hapa Efeso 4:11-12

'11Nae alitoa wengine kuwa mitume, wengine kuwa manabii, wengine kuwa wainjilisti wengine kuwa wachungaji na wengine kuwa walimu
12 kwa kusudi la kuwakamilisha watakatifu, hata kazi ya huduma itendeke,hata mwili wa kristo ujengwe.
Kwa faida yako pia unaweza soma warumi 12:5-8
 
Back
Top Bottom