Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo Ni matukio tu, kuna nabii katika biblia, David. Huyu mungu alimpenda sana ata ikabidi Yesu aitwe mwana wa Daudi. Katika agano jipya inakumbukwa wakati mungu akikiri " nimempata Daudi mwana wa Yese ambaye moyo wake umenielekea" . Lakini Daudi ni mfalme aliyeua sana hata mungu alikiri alijaa damu mikononi, Daudi alitembea na Mke wa mtu ,na kumuua mume wake, na kupora Mke. Daudi hakujua kulea familia yake ata watoto wake waligegedana na kuuana. Daudi alikua na mtoto Absalom aliyeandaa jeshi la kumpindua na kumuua. Na Absalom alilala na wake wote wa Daudi hadharani juu ya dari na watu waliona, na hata hivyo mungu alikua na Daudi na roho wake mpaka mwisho wa maisha yake. Uzeeni mungu hakumsahau hata alipewa bikira kumpa joto. Sa nyie mnasema nini, itakua iyo ya Joe Davie ya mtelezo, acheni watumishi wa mungu bwana
stupid!!!
Daudi alizini, akaadhibiwa na itwas one time only
huyu malaya na kahaba la kiume....lilikuwa linazoea na mpaka linafanyia kwenye gari kwenye premises za ndoa ya mwanamke!!!!! umfananishe na Daudi??
kesho atakulala na wewe ndio utaamini ni firauni!
Ni makosa makubwa sana sana kujaribu kuwafananisha kwa namna yeyote yule manabii wa zamani na wa sasa...!!!
Neno liko very clear kuwa nyakati za mwisho watatokea manabii wa uongo watakaokuwa na uwezo hata wa kutenda miujuliza mbalimbali ikiwemo kuhamisha milima lakini tunaambiwa ya kwamba TUSIWAAMINI HAO....!!!
Hii habari ilishawekwa huku muda. ..Muwe mnapitia pitia habari zilizoko kabla ya kupost bana. ...
christine ibrahim kwanza mimi ni mkristo hasa na napenda maandiko na nakubali manabii wapo, lakini lililo wazi ni kwamba hawa wa kweli hawajitangazi wala kujiinua bali huinuliwa na asilimia kubwa wanaishi mbali kabisa na miji na maisha yao ni very simple hawana makuuKwanini unasema ni makosa makubwa kufananisha manabii wa zamani na wa ss mkuu?
Yesu alisema ' jihadharini na manabii wa uongo lkn hakumaanisha wa kweli hawatakuwepo'
Bt ni kuwa makini ktk wale wa kweli na waongo watakuwepo!
Kumbuka biblia inasema ' atapigwa mchungaji na kondoo watatawanyika!
Na ndicho shetani anachofanya !....kwa sababu anajua akishamwangusha mtumishi automatically wengi wa waumuni watarudi nyuma! !
All in all still manabii wa uongo wapo na wa kweli wapo!
Cha mhim uwe na Roho Mtakatifu uweze kujua walio wake!
Huyu ni mchumia tumbo na muhuni aliyeshindikana..
Yes aliadhibiwa kwa kumuua mtoto wa kwanza wa bethsheebah kwa daudi ,lakini aliyefuata ni Solomon.Ahadi iliendeleastupid!!!
Daudi alizini, akaadhibiwa na itwas one time only
huyu malaya na kahaba la kiume....lilikuwa linazoea na mpaka linafanyia kwenye gari kwenye premises za ndoa ya mwanamke!!!!! umfananishe na Daudi??
kesho atakulala na wewe ndio utaamini ni firauni!
mhuni mhuni tu huyu
mzinzi mkubwaa
Imani zingine ni balaa mtu anafanya uchafu alaf watu wanatetea tena kwa kutoa aya kwenye biblia.Lakini sawa km kitabu chenyewe kinafundisha uovu huu tena kwa mifano kutoka kwa manaabii waumin hawanabudi kufuata ila naamin hiki kitabu kipo kwa ajili ya kudunisha akili za watu.
after 1000 yrs makanisa mengi na misikiti yatakuwa magodown au migahawa.
Umekosea anaitwa Mheshimiwa Mstahiki Baba Nabii wa Karne, Ngurumo ya Upako Nabii na Mtume Goerdavie
christine ibrahim kwanza mimi ni mkristo hasa na napenda maandiko na nakubali manabii wapo, lakini lililo wazi ni kwamba hawa wa kweli hawajitangazi wala kujiinua bali huinuliwa na asilimia kubwa wanaishi mbali kabisa na miji na maisha yao ni very simple hawana makuu
Hapa nawazungumzia hawa waliotapakaa mijini wenye mashauzi na sifa nyingi, wezi na wapiga dili chafu, wana Suti kalikali na magari ya kifahari ni watu wa kujisifu na kupenda kuponda na kukosoa wengine, wanajitangaza kwenye vyombo vya kibiashara na wanalipia matangazo kwenye vyombo vya habari, wana utajiri wa kutisha na bado wanazidi kuwakamua waumini maskini kabisa kila senti
Wanapenda mambo ya uchawi na kuloga wana maisha ya anasa na ni walafi wenye kufanya zinaa na waumini wao, kwa ufupi ni wadhambi kuliko hata muumini wa kawaida