Nabii Geor Davie asababisha ndoa kuvunjika

Mimi sitaki kabisa kusikia haya makanisa yanayoitwa ya kiroho... Especially karibu na mpenzi wangu... Shenzy kabisa hawa
 
Mimi sitaki kabisa kusikia haya makanisa yanayoitwa ya kiroho... Especially karibu na mpenzi wangu... Shenzy kabisa hawa

Kuna watu huwezi kuwaambia kitu, nasikia kuna watu wamefunga na kuomba wakimuombea nabii wao kwa kusingiziwa jambo kama hilo
 
Huyu jamaa anatejiita Geo Devil ni hatari tupu....

Sishangai maana hata mtoto wake Producer wa muziki Nisher ni mtoto wa nje...

Huyu jamaa kwa kifupi ni muhuni...Na watu sijui kwann hawastukii utapeli huu...Wanakuwa kama wamefungwa akili zao..

halaf ukifuatilia vipindi vyake anavyoongea ni kama vya chombeza time vile
 
Halaf kwann anataka aitwe Baba??? Waumin wao utawasikia wakisema baba amenisaidia
 
Wajinga ndio waliwao! Mtaamka kini, HAKUNA NABII WALA MTUME hayo ni mjambazi tu yamejificha kwenye dini.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
Kuna watu huwezi kuwaambia kitu, nasikia kuna watu wamefunga na kuomba wakimuombea nabii wao kwa kusingiziwa jambo kama hilo

Ndio maana mimi nimekataa kabisa haya mambo, kama ni kusali aende tu Lutheran akishindwa tukae nyumbani tucheze kidali poo
 
Wajinga ndio waliwao! Mtaamka kini, HAKUNA NABII WALA MTUME hayo ni mjambazi tu yamejificha kwenye dini.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk

aisee hi la walokole daah mungu anisamehe..mtu amekaa na mkewe mara mchungaj hodiii...mke anatoka sebuleni kumkarim mchungaj basi wanakaaa hata masaa mawili na mme yupo chumban anasubiri mke arudi wamalize mjadala wa familia...saa lingine linatumika kumsindikiza mchungaji.
 
Mimi nashangaa sana utakuta muumini anajibana ana kwenda kusali kapanda daladala mbili mpaka tatu ili aweze kufika kanisani baada ya misa kumalizika mchungaji/Askofu/Nabii/Mtume anaondoka na Land Cruiser VDJ 201 muumini anakimbizana na daladala tena.Ukitaka kucheka hadi mbavu zikuume utakuta muumini kajibana katoa sadaka 10,000/= kamchangia Nabii azidi kutanua huku yeye akiwa hana uhakika atakula nini siku inayofuata.Maubiri mengine usipokuwa makini unaweza kujikuta unauza nyumba yako eti ukamtolee Mungu sadaka mwisho wa siku unakuta ile sadaka yako imetumika kununua Vogue,imetumika kujenga hekalu la Nabii,imetumika kununua choper ya Mtume.... mpaka hapo sijaona mahali Mungu katumia sadaka yako.Laiti hizi sadaka zingekuwa zinatumika kusaidia wajane,watoto yatima na wasiojiweza na nk kungekuwa na uhusiano wa kumtolea Mungu sadaka.
 

Wote uliowataja wamevunja ndoa?
Mkuu unaweza kututhibitishia ukiondoa wa arusha ambae mahakama imethibitisha?
 
Kuokoka kupo na kristo anaokoa hata sasa. Na watakatifu wapo. Jodavi asilichafue kanisa la Bwana.

Tell them...Eti kosa la gordavie lifanye watumishi wa ukweli nao waonekane wale wale,..huyo ni yy kalitukanisha jina la Bwana na haifanyi wengine waonekane si watumishi!
 
 
du...kumbe na wewe unajua kuandika...nilijua zako picha tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…