MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Mimi sitaki kabisa kusikia haya makanisa yanayoitwa ya kiroho... Especially karibu na mpenzi wangu... Shenzy kabisa hawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sitaki kabisa kusikia haya makanisa yanayoitwa ya kiroho... Especially karibu na mpenzi wangu... Shenzy kabisa hawa
Kuna watu huwezi kuwaambia kitu, nasikia kuna watu wamefunga na kuomba wakimuombea nabii wao kwa kusingiziwa jambo kama hilo
Huyu jamaa anatejiita Geo Devil ni hatari tupu....
Sishangai maana hata mtoto wake Producer wa muziki Nisher ni mtoto wa nje...
Huyu jamaa kwa kifupi ni muhuni...Na watu sijui kwann hawastukii utapeli huu...Wanakuwa kama wamefungwa akili zao..
dah!!! huyu huyu anaejaza watu kisongoo????
Mkuu huu ndo yule mwenye ulinzi kama wa maraisi wa nchi au?
Kwani huyo nabii ana wake wangapi?
Kuna watu huwezi kuwaambia kitu, nasikia kuna watu wamefunga na kuomba wakimuombea nabii wao kwa kusingiziwa jambo kama hilo
Wajinga ndio waliwao! Mtaamka kini, HAKUNA NABII WALA MTUME hayo ni mjambazi tu yamejificha kwenye dini.
Sent from my SM-G800H using Tapatalk
Hawa ni mafuska waliokubuhu. Kuanzaia yule nabii feki wa Nigeria TB joshua, Gwajima wa misukule, mwingira wa efatha, Joe devi, yule wa kimara wa miaka 50 kaacha mke na kuoa binti wa miaka 20 na wengi wapendao kujipa vyeo vya unabii ni mafuska wa kutupwa na wote hao niliowataja wamevunja ndoa za waumini wao kwa ufuska.
Kazi kwenu mnaowapa hizo sadaka wanzochezea.
Kuokoka kupo na kristo anaokoa hata sasa. Na watakatifu wapo. Jodavi asilichafue kanisa la Bwana.
Wajinga ndio waliwao! Mtaamka kini, HAKUNA NABII WALA MTUME hayo ni mjambazi tu yamejificha kwenye dini.
Sent from my SM-G800H using
Wapo manabii na mitume ambao Mungu anawatumia na pia wapo wanaojifanya manabii na mitume/wa uongo.
Hatushangai hata bibilia imesema haya sio mageni...
du...kumbe na wewe unajua kuandika...nilijua zako picha tu!Mahakama ya hakimu mkazi jijini Arusha leo imevunja rasmi ndoa ya bibi Pamela na mumewe baada ya kuthibitika pasi na shaka kuwa alikuwa na mahusiano nje ya ndoa na nabii Jodevi wa ngurumo za upako wa jijini Arusha.
Mtoto wa wanandoa hao mwenye umri wa miaka 15 ndiye aliyetoa ushadihi wote ukiwemo wa nabii kufika nyumbani na kupelekewa juice kwenye gari yake yenye vioo vyeusi na kukaa humo kwa muda mrefu na mamaake pia nabii kufika nyumbani usiku baba akiwa hayupo na kuambiwa akalale huku nabii akibaki na mama sebuleni muda mrefu akifanyiwa maombi maalum
Vile vile ushahidi na msg za simu na kwenye laptop na mambo mengine mengi yamethibitisha pasi na shaka mahusiano ya wawili hao na hatimaye mahakama kuamua kuvunja ndoa hiyo takatifu
Chanzo: Wapo radio