Nabii GeorDavie: Yesu akirudi leo atataka kutumia gari yangu na atataka nimfuate Airport

Watu watabisha wakati hapo KENYA kuna YESU ameoa wake wanne lkn pia kuna YESU mwingine aliingia hapo KENYA sijui 2021 akawa anatembea na msululu wa watu mtaani.

Sasa kwani hakutumia usafiri wa gari kutoka uwanja wa ndege mara baada ya kutua kutokea US?
 
Habari za Yesu zinasema alipanda Punda, kwa leo ni kama angepanda Bodaboda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu kwanini asiwe Atcl mkuu? Yesu aungi mkono juhudi za mama?
Atcl inaweza chelewesha safari ya ndege kutoka mbinguni bila taarifa akajikuta geodavie anaenda uwanja wa ndege anaambiwa hajafika
 
atambue tu ya kwamba nchi na vote vijazavyo ni mali ya Bwana dunia na vote vikaavyo ndani yake ile kusema " GARI YANGU" ni kujiinua na kusahau ya kwamba Mungu ndiye mmiliki wa vyote ,bora angesema atapanda gari zake alizo mpa ,hapo tungesema anamtukuza Muumba lakini gari yangu ,what is gari for creator .
 
Duuuuu aisee ,Kwa iyo msafara wako Nabii nabii na Yesu ? Yaan kumbe una uelewa mdogo sana Nabii? Yesu hatakuja Tena katika Hali ya umasikn na ufukara ,atakuja na utukufu mwing sana na jeshi kubwa sana la malaika ,yaan ww Kuna uwezekano uspate hata nafas ya kumsogelea hata kidgo kama atasema wenye hadhi wawe wa kwanza kumsogelea ,,lakn Amin Amin nakuambia Jinsi Yesu asivyo na ubaguz uenda hata mama muuza mboga sokoni, bibi aliyechoka kabsa na anaye Lima vibarua ilmrad ana mcha Mungu na kukiri kua Yesu ndiyo mwokoz wa maisha yake na kutembea katika hayo maisha ya ushuhuda, akawa na hadhi Zaid ya Nabii na askofu
 
Mbona mnamshambulia kabla hamjamuuliza huyo yesu wake anayekuja kwa ndege ni yupi?
 
Atcl inaweza chelewesha safari ya ndege kutoka mbinguni bila taarifa akajikuta geodavie anaenda uwanja wa ndege anaambiwa hajafika
Kwani Atcl ina route za binguni? Au siku hiyo itaenda mahususi kufuata huyu Yesu?
 
Kwani Yesu ni Mungu au Baba yake Ndo Mungu? Usituchanganye bwana na Imani zenu zisio eleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…