Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Hizi dini ziundiwe chombo maalumu cha kudhibiti wagonjwa wa akili kumdhihaki Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi dini ziundiwe chombo maalumu cha kudhibiti wagonjwa wa akili kumdhihaki Mungu
Acha kuondoa watu kwenye ukuristo unamamlaka gani? Kama mashongaa tuna wakaribisha na kubariki ndoa zao sembuse huyoNimesema Geordavie siyo MKRISTU, Period.
mwambie Huyo Davie Mwanakujaamavi!Hivi hukul nikitukana si watanifungia?
Nisaidieni kumtukana.
Unawsza kujiuliza watu wanawafuata hawa manabii wao wenyewe wana utimamu wa kiwango gani cha akili. Mi nadhani watakuwa wana utimamu wa akili za nguruwe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]akifa hapo anafufuka tena, dereva ndo huchukuliwa kua kama Yuda iskaliotiAsisahau tu kumkumbusha kuvaa seat belt ili ikitokea ajali asife tena.
Yesu huyo atakuwa anatokea wapi hadi apande ndege? Ina maana atakuwa na passport? Ya nchi gani?
Kumbe akirudi atakuja na usafiri wa ndege kutokea mbinguni. I am sure haiwezi kuwa ATCL labda Emirates
Hata mimi nimeogopa sanaHivi hukul nikitukana si watanifungia?
Nisaidieni kumtukana.
Mkuu kwanini asiwe Atcl mkuu? Yesu aungi mkono juhudi za mama?Kumbe akirudi atakuja na usafiri wa ndege kutokea mbinguni. I am sure haiwezi kuwa ATCL labda Emirates
Watu watabisha wakati hapo KENYA kuna YESU ameoa wake wanne lkn pia kuna YESU mwingine aliingia hapo KENYA sijui 2021 akawa anatembea na msululu wa watu mtaani.Nabii Geordavie amesema kwamba endapo Yesu angerudi leo, angehitaji kutumia gari lake na kumtaka amfuate uwanja wa ndege kwa ajili ya msafara wa hadhi yake. Nabii huyo alieleza kuwa Yesu angekuwa na mtazamo tofauti, akiamua kukaa naye na kuchagua gari miongoni mwa alizonazo ili kuendana na hadhi yake.
"Nadhani atakuwa na mtazamo tofauti, jambo la kwanza ataamua kukaa na mimi na atataka kutumia gari langu, atachagua katika hizi (gari) na ataomba nimfuate airport (uwanja wa ndege) kwasababu ndio hadhi yake na kutakuwa na msafara kabisa."
Habari za Yesu zinasema alipanda Punda, kwa leo ni kama angepanda Bodaboda 😂😂😂Nabii Geordavie amesema kwamba endapo Yesu angerudi leo, angehitaji kutumia gari lake na kumtaka amfuate uwanja wa ndege kwa ajili ya msafara wa hadhi yake. Nabii huyo alieleza kuwa Yesu angekuwa na mtazamo tofauti, akiamua kukaa naye na kuchagua gari miongoni mwa alizonazo ili kuendana na hadhi yake.
"Nadhani atakuwa na mtazamo tofauti, jambo la kwanza ataamua kukaa na mimi na atataka kutumia gari langu, atachagua katika hizi (gari) na ataomba nimfuate airport (uwanja wa ndege) kwasababu ndio hadhi yake na kutakuwa na msafara kabisa."
Atcl inaweza chelewesha safari ya ndege kutoka mbinguni bila taarifa akajikuta geodavie anaenda uwanja wa ndege anaambiwa hajafikaMkuu kwanini asiwe Atcl mkuu? Yesu aungi mkono juhudi za mama?
Duuuuu aisee ,Kwa iyo msafara wako Nabii nabii na Yesu ? Yaan kumbe una uelewa mdogo sana Nabii? Yesu hatakuja Tena katika Hali ya umasikn na ufukara ,atakuja na utukufu mwing sana na jeshi kubwa sana la malaika ,yaan ww Kuna uwezekano uspate hata nafas ya kumsogelea hata kidgo kama atasema wenye hadhi wawe wa kwanza kumsogelea ,,lakn Amin Amin nakuambia Jinsi Yesu asivyo na ubaguz uenda hata mama muuza mboga sokoni, bibi aliyechoka kabsa na anaye Lima vibarua ilmrad ana mcha Mungu na kukiri kua Yesu ndiyo mwokoz wa maisha yake na kutembea katika hayo maisha ya ushuhuda, akawa na hadhi Zaid ya Nabii na askofuNabii Geordavie amesema kwamba endapo Yesu angerudi leo, angehitaji kutumia gari lake na kumtaka amfuate uwanja wa ndege kwa ajili ya msafara wa hadhi yake. Nabii huyo alieleza kuwa Yesu angekuwa na mtazamo tofauti, akiamua kukaa naye na kuchagua gari miongoni mwa alizonazo ili kuendana na hadhi yake.
"Nadhani atakuwa na mtazamo tofauti, jambo la kwanza ataamua kukaa na mimi na atataka kutumia gari langu, atachagua katika hizi (gari) na ataomba nimfuate airport (uwanja wa ndege) kwasababu ndio hadhi yake na kutakuwa na msafara kabisa."
Kwani Atcl ina route za binguni? Au siku hiyo itaenda mahususi kufuata huyu Yesu?Atcl inaweza chelewesha safari ya ndege kutoka mbinguni bila taarifa akajikuta geodavie anaenda uwanja wa ndege anaambiwa hajafika
Kwani Yesu ni Mungu au Baba yake Ndo Mungu? Usituchanganye bwana na Imani zenu zisio eleweka.atambue tu ya kwamba nchi na vote vijazavyo ni mali ya Bwana dunia na vote vikaavyo ndani yake ile kusema " GARI YANGU" ni kujiinua na kusahau ya kwamba Mungu ndiye mmiliki wa vyote ,bora angesema atapanda gari zake alizo mpa ,hapo tungesema anamtukuza Muumba lakini gari yangu ,what is gari for creator .