Nabii J. Steven: Dar yapona ghadhabu ya Mungu, mafuriko yasitishwa

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Salaam, Shalom.

Hii ni habari njema Kwa wakazi wa Dar es Salaam, Mungu amewaepusha mbali na dhahama ya mafuriko.

Iliarifiwa kabla juu ya janga kubwa la Mafuriko kuukumba mji mzima wa Dar na watu kuarifiwa kuhama,

Mtumishi mmoja amepata kibali Cha kuomba Kwa HAKI mbele za Mungu na kumsihi kuunusuru mji, na Mungu amesikia kuomba kwake na hatimaye Mafuriko yasasitishwa. Mtumishi huyo ni msukuma Kwa kabila lake. Mafuriko hayo yatapungua mwisho wa mwenzi huu na jua litawaka na kukausha maji ya ardhi na taratibu Hali itarejea.

Kusitishwa Kwa mafuriko hayo ni Kwa Muda, wakazi wa mji huo wanatakiwa kurudi katika line, njia kuu kuenenda sawasawa na maelekezo ya Mungu ya kukataa UOVU na kuishi maisha matakatifu. Ikiwa watu hawatasikia maelekezo ya Mungu, mafuriko hayo yatarejea tena.

Ahsante.

Source: Huduma ya Kristo U-Tube channel - Jackob Steven.
 
Huu ushenzi huwa unaniumiza sana mi binafsi.... Mwaka Jana mama Angu alienda kukesha, kufunga na kuomba elimino isitokee ety ni ya shetani... Na ikatokea tena ikagonga mbaya...

jamani maombi hayafanyi kazi. Don't be brainwashed.
tuache ujinga watanzania.
 
Mtumishi mmoja amepata kibali Cha kuomba Kwa HAKI mbele za Mungu na kumsihi kuunusuru mji, na Mungu amesikia kuomba kwake na hatimaye Mafuriko yasasitishwa. Mtumishi huyo ni msukuma Kwa kabila lake. Mafuriko hayo yatapungua mwisho wa mwenzie huu na jua litawaka na kukausha maji ya ardhi na taratibu Hali itarejea.
Haya maneno ndiyo yanatumika kuwavuruga akili watu ili waibiwe mali zao kwa kisingizio cha sadaka, si ndiyo huyu alisema watu wauze assets au wampe yeye?
 
No huyo Si Yeye.

Yeye unabii wake hajakanusha Bado.
 
Ngoja itabidi tumsake kama tapeli
Yeye alisema ni 20apri - 20 may.

Na Kwakuwa hajakanusha Bado, muhimu kusubiri ikiwa atatoa ujumbe kabla ya tarehe hiyo.

Unataka umsake mjumbe wa Mungu kosa lake nini, hujaona mafuriko Dunia nzima Hadi huko jangwani Dubai nk nk?

Na Kwa taarifa Yako,

Miaka ni Saba ya majanga 2024-2030.
 
Acheni basi kusumbua watu, watu wanambo mengi yanawavuruga msiwachoshe na Nabii za uongo.
Miaka ya majanga iliyoruhusiwa ni 7,

2024-2030, na mafuriko yamesitishwa Kwa muda tu, kupisha ombi la aliyezuia Kwa maombi.
 
Salaam, Shalom.

Hii ni habari njema Kwa wakazi wa Dar es Salaam, Mungu amewaepusha mbali na dhahama ya mafuriko.

Iliarifiwa kabla juu ya janga kubwa la Mafuriko kuukumba mji mzima wa Dar na watu kuarifiwa kuhama,

Mtumishi mmoja amepata kibali Cha kuomba Kwa HAKI mbele za Mungu na kumsihi kuunusuru mji, na Mungu amesikia kuomba kwake na hatimaye Mafuriko yasasitishwa. Mtumishi huyo ni msukuma Kwa kabila lake. Mafuriko hayo yatapungua mwisho wa mwenzi huu na jua litawaka na kukausha maji ya ardhi na taratibu Hali itarejea.

Kusitishwa Kwa mafuriko hayo ni Kwa Muda, wakazi wa mji huo wanatakiwa kurudi katika line, njia kuu kuenenda sawasawa na maelekezo ya Mungu ya kukataa UOVU na kuishi maisha matakatifu. Ikiwa watu hawatasikia maelekezo ya Mungu, mafuriko hayo yatarejea tena.

Ahsante.

Source: Huduma ya Kristo U-Tube channel - Jackob Steven.
kwanini ilikuja msimu wa masika? isije wakti wa kiangazii kimsingi mwezi ujao ndio masika inaishia
 
Salaam, Shalom.

Hii ni habari njema Kwa wakazi wa Dar es Salaam, Mungu amewaepusha mbali na dhahama ya mafuriko.

Iliarifiwa kabla juu ya janga kubwa la Mafuriko kuukumba mji mzima wa Dar na watu kuarifiwa kuhama,

Mtumishi mmoja amepata kibali Cha kuomba Kwa HAKI mbele za Mungu na kumsihi kuunusuru mji, na Mungu amesikia kuomba kwake na hatimaye Mafuriko yasasitishwa. Mtumishi huyo ni msukuma Kwa kabila lake. Mafuriko hayo yatapungua mwisho wa mwenzi huu na jua litawaka na kukausha maji ya ardhi na taratibu Hali itarejea.

Kusitishwa Kwa mafuriko hayo ni Kwa Muda, wakazi wa mji huo wanatakiwa kurudi katika line, njia kuu kuenenda sawasawa na maelekezo ya Mungu ya kukataa UOVU na kuishi maisha matakatifu. Ikiwa watu hawatasikia maelekezo ya Mungu, mafuriko hayo yatarejea tena.

Ahsante.

Source: Huduma ya Kristo U-Tube channel - Jackob Steven.
Afya ya akili ni very serious issue
 
Back
Top Bottom