Nabii J. Steven: Dar yapona ghadhabu ya Mungu, mafuriko yasitishwa

Mbona TMA hawakutuambia kuwa Dar es Salaam itakumbwa na mafuriko hayo?
Huko kwingine yanakotokea Mafuriko hawaombi?
Vipi hiyo miji ambako hakukutokea Mafuriko hakuna Uovu unaofanyika!
Unabii wa kutengeneza!
 
Hivi nyie Walokole akili zenu hua zina sense kweli?
Kumbe wewe jamaa akili zako zinawaamini hao manabii miyeyusho wasiokua na Spiritual enlightenment na Holly spirit
Badala yake wanatumia akili zao kufanya mambo ya kiungu mwisho wanageuka vituko namna hiyo still bado unawapigia chapuo,
So sad bwana Rabbon Ukristo wako ni useless maana sheria namba Moja ya kua Mkristo ni kuzaliwa mara ya pili yaani kiakili,kimawazo,kimtazamo na kimwili lazima umfananie Yesu Kristo the master ila nyie mmnamdhalilisha sana Our Lord Jesus Christ the Master shame on you!
 
Salaam, Shalom.

Hii ni habari njema Kwa wakazi wa Dar es Salaam, Mungu amewaepusha mbali na dhahama ya mafuriko.

Iliarifiwa kabla juu ya janga kubwa la Mafuriko kuukumba mji mzima wa Dar na watu kuarifiwa kuhama,

Mtumishi mmoja amepata kibali Cha kuomba Kwa HAKI mbele za Mungu na kumsihi kuunusuru mji, na Mungu amesikia kuomba kwake na hatimaye Mafuriko yasasitishwa. Mtumishi huyo ni msukuma Kwa kabila lake. Mafuriko hayo yatapungua mwisho wa mwenzi huu na jua litawaka na kukausha maji ya ardhi na taratibu Hali itarejea.

Kusitishwa Kwa mafuriko hayo ni Kwa Muda, wakazi wa mji huo wanatakiwa kurudi katika line, njia kuu kuenenda sawasawa na maelekezo ya Mungu ya kukataa UOVU na kuishi maisha matakatifu. Ikiwa watu hawatasikia maelekezo ya Mungu, mafuriko hayo yatarejea tena.

Ahsante.

Source: Huduma ya Kristo U-Tube channel - Jackob Steven.
Bado ukimwi■●
 
Wale si manabii wa UONGO.

Wewe ndiye kipofu unayeamini unaona, maana ungekuwa unaona, ungemuuliza Mungu akuthibitishie.

(Soma 2 Wafalme 20:1-6)
 
jizi hilo unabii kampa nani na mbona hizo mvua hakuzitabiri, haya masaccos makanisa yanatafuta sana pesa kwa njia zooote shitukeni na wee mleta mada ni wale wale tu tapeli mwenza. Huko kenya kuna lile liliwaua wenzie kwa kuwaambia wafunge ili wafe sasahivi linalalamika mahakama inamnyanyasa eti wanataka afe, sasa unajiuliza yeye si aliwaambia waumini wafe? MASIKINI HAWATUMII AKILI KABISA.
 
Ngoja tumvumilie
Nikuulize swali,

Wewe unaamini kuwa Mungu anatumia watu waitwao manabii kuongea na watu wake?

Au ndio wale wanaamini manabii walikuwa zamani huko?
 
Wale si manabii wa UONGO.

Wewe ndiye kipofu unayeamini unaona, maana ungekuwa unaona, ungemuuliza Mungu akuthibitishie.

(Soma 2 Wafalme 20:1-6)
Sawa naona una uhakika ya kwamba sijamuuliza Mungu,
Ikimaanisha wewe ndie uliemuuliza na akakujibu wale ni manabii wa kweli!

Spiritual hao manabii wako ni zero zero wanahitaji Injili wafunguke na wazaliwe upya,
Yaani hao bado ni kindergarten kuhusu Ufalme wa Mungu bongo hakuna Nabii kuna wajanja wajanja tu wachumia tumbo!
 
Unabii wake wa jana(huyu anamwona Yesu kila siku kukiko hata Pope Francis).
Unabii wake wa jana anasema:"Singida itaadhibiwa; watu matajiri wa Singida hawausaidii Mkoa wao,pia watu wametajirika kwa kuwa Singida,hawaisaidii Singida.
Na vibaka wamezidi Singida."
Kwa hiyo Bwana anasema anataka kuona Free and fair Church in Singida,ama sivyo Singida itaadhibiwa.
Sasa,Free and fair Church ina-ryhme with Free and fair elections.
Labda maana yake makanisa na nyumba zote za ibada zijirekebishe ama sivyo there will be no free and fair election.
 
King Jesus/ YESHUA HAMASHIACH.
 
Salaam, Shalom.

Hii ni habari njema Kwa wakazi wa Dar es Salaam, Mungu amewaepusha mbali na dhahama ya mafuriko.

Iliarifiwa kabla juu ya janga kubwa la Mafuriko kuukumba mji mzima wa Dar na watu kuarifiwa kuhama,

Mtumishi mmoja amepata kibali Cha kuomba Kwa HAKI mbele za Mungu na kumsihi kuunusuru mji, na Mungu amesikia kuomba kwake na hatimaye Mafuriko yasasitishwa. Mtumishi huyo ni msukuma Kwa kabila lake. Mafuriko hayo yatapungua mwisho wa mwenzi huu na jua litawaka na kukausha maji ya ardhi na taratibu Hali itarejea.

Kusitishwa Kwa mafuriko hayo ni Kwa Muda, wakazi wa mji huo wanatakiwa kurudi katika line, njia kuu kuenenda sawasawa na maelekezo ya Mungu ya kukataa UOVU na kuishi maisha matakatifu. Ikiwa watu hawatasikia maelekezo ya Mungu, mafuriko hayo yatarejea tena.

Ahsante.

Source: Huduma ya Kristo U-Tube channel - Jackob Steven.
Ni kusitishwa au msimu umeisha?
 
Back
Top Bottom