Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hao unaosikia kama wanapiga simu utadhani iko live. Na simu inagonga kama vile iko bize kalagha bahoMhh! Sasa mbona inainekana ni live mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao unaosikia kama wanapiga simu utadhani iko live. Na simu inagonga kama vile iko bize kalagha bahoMhh! Sasa mbona inainekana ni live mkuu?
Nitashangaa sana kama yule nabii koko serikali itamruhusu arudi, jamaa mpumbavu sana.Bila shaka huenda serikali imempa kibali cha kurudi! Na huenda tena Wateja wake ni watu wa serikali.
Matusi ni dhambi mkuu. Usijitafutie matatizo kwa sentensi moja. Waoendenda wamechagua wenyewe. Samia hajawatuma.Kama ni kweli basi samia na serikali yake yupo nyuma ya agenda ya kuchafua dini za watu wengine maana hata hao manabii feki kabla na baada ya kuwa manabii vibari vya makanisa wanapewa na serikali pumbavu ya samia
Wanaoenda wamechagua na kufanya maamuzi wenyeweMatusi ni dhambi mkuu. Usijitafutie matatizo kwa sentensi moja. Waoendenda wamechagua wenyewe. Samia hajawatuma.
Mkuu huyu nabii hahusiki na mambo ya uchaguzi. Yeye ames specialize kwenye mambo ya uchawi tu!Itakuwa wagombea uchaguzi wanapishana huko kwa huyu tapeli nabii. Utakuta hapo wanakutana wote tawala na wapinzani.
Bado tuna safari ndeeeefu
Kasema mafundisho yake hayana tofauti kimaudhui na mafundisho ya kiboko yà wachawi. Hajasema sauti yake inàfanana na sauti ya kiboko yà wachawi.Huyu sio kiboko ya wachawi, nimekuwa naye muda mrefu najua hii sio sauti yake ,
USSR
Yesu anaweza asije maana watu watakuwa busy kubeba mchanga na udongo wa upako 😔Hakika na wataendelea kuangamia hadi Yesu atakaporudi
Kwanini ameunga nyuzi zinazojadili kuwa kiboko ya wachawi anarudi wapo wanachangia pesaKasema mafundisho yake hayana tofauti kimaudhui na mafundisho ya kiboko yà wachawi. Hajasema sauti yake inàfanana na sauti ya kiboko yà wachawi.
Halafu kasisitizà wañanchi wàna uelewa mdogo serikali iwasaidie.
Sasa ona hàta wewe unauelewa mdogo iñabidi usàidiwe kuepushwa na huyu Kero ya wachawi.
Mwamposa hakuwaita bali walienda wenyewe. Lakini unasikia huyu tapeli kwenye audio anavyowashawishi waliorogwa wakamuone huko Tabata Kimanga awakaange hela. So Mwamposa hana kosa.Hana kosa kama mwamposa anavyofanya,
Moshi wananchi walikuwa kwa kukanyaga a wakigombea kukanyaga mafuta ya Korie wakidanyanywa eti ni yaupako
Ni kwa sababu maskini wana dhambi nyingi kuliko matajiri mkuu. Matajiri wanatumia utajiri wao kukwepa dhambi na maskini wanatumbukizwa kwenye dhambi na mapepo na umaskini wao.Hivi kwanini wachawi kazi yako ni kuroga walio maskini tu?
Hivi kwanini mapepo huwapanda walio maskini tu?
Luka 9:60
Hayo ndo majanga ya kusoma Biblia kama anasoma Riwaya za Erick Shigongo 😃 wataona motoWanadai eti hata Yesu alifanya miujiza kwa kubadilisha mawe kuwa mikate na maji kuwa pombe, so wanapita mulemule!