Nabii Kiboko ya Wachawi amerejea nchini kimyakimya yupo Tabata Kimanga anapiga kazi kama kawaida; hebu msikilize mwenyewe hapa

Nabii Kiboko ya Wachawi amerejea nchini kimyakimya yupo Tabata Kimanga anapiga kazi kama kawaida; hebu msikilize mwenyewe hapa

Itakuwa wagombea uchaguzi wanapishana huko kwa huyu tapeli nabii. Utakuta hapo wanakutana wote tawala na wapinzani.
Bado tuna safari ndeeeefu
 
Kama ni kweli basi samia na serikali yake yupo nyuma ya agenda ya kuchafua dini za watu wengine maana hata hao manabii feki kabla na baada ya kuwa manabii vibari vya makanisa wanapewa na serikali pumbavu ya samia
Matusi ni dhambi mkuu. Usijitafutie matatizo kwa sentensi moja. Waoendenda wamechagua wenyewe. Samia hajawatuma.
 
Itakuwa wagombea uchaguzi wanapishana huko kwa huyu tapeli nabii. Utakuta hapo wanakutana wote tawala na wapinzani.
Bado tuna safari ndeeeefu
Mkuu huyu nabii hahusiki na mambo ya uchaguzi. Yeye ames specialize kwenye mambo ya uchawi tu!
 
Huyu sio kiboko ya wachawi, nimekuwa naye muda mrefu najua hii sio sauti yake ,

USSR
Kasema mafundisho yake hayana tofauti kimaudhui na mafundisho ya kiboko yà wachawi. Hajasema sauti yake inàfanana na sauti ya kiboko yà wachawi.
Halafu kasisitizà wañanchi wàna uelewa mdogo serikali iwasaidie.
Sasa ona hàta wewe unauelewa mdogo iñabidi usàidiwe kuepushwa na huyu Kero ya wachawi.
 
Kwanini ameunga nyuzi zinazojadili kuwa kiboko ya wachawi anarudi wapo wanachangia pesa

USSR
 
Yesu anaweza asije maana watu watakuwa busy kubeba mchanga na udongo wa upako 😔
Wanadai eti hata Yesu alifanya miujiza kwa kubadilisha mawe kuwa mikate na maji kuwa pombe, so wanapita mulemule!
 
Hivi kwanini wachawi kazi yako ni kuroga walio maskini tu?
Hivi kwanini mapepo huwapanda walio maskini tu?
Luka 9:60
 
Hana kosa kama mwamposa anavyofanya,
Moshi wananchi walikuwa kwa kukanyaga a wakigombea kukanyaga mafuta ya Korie wakidanyanywa eti ni yaupako
Mwamposa hakuwaita bali walienda wenyewe. Lakini unasikia huyu tapeli kwenye audio anavyowashawishi waliorogwa wakamuone huko Tabata Kimanga awakaange hela. So Mwamposa hana kosa.
 
Hivi kwanini wachawi kazi yako ni kuroga walio maskini tu?
Hivi kwanini mapepo huwapanda walio maskini tu?
Luka 9:60
Ni kwa sababu maskini wana dhambi nyingi kuliko matajiri mkuu. Matajiri wanatumia utajiri wao kukwepa dhambi na maskini wanatumbukizwa kwenye dhambi na mapepo na umaskini wao.
 
Wanadai eti hata Yesu alifanya miujiza kwa kubadilisha mawe kuwa mikate na maji kuwa pombe, so wanapita mulemule!
Hayo ndo majanga ya kusoma Biblia kama anasoma Riwaya za Erick Shigongo 😃 wataona moto
 
Back
Top Bottom