Nabii Kiboko ya Wachawi amerejea nchini kimyakimya yupo Tabata Kimanga anapiga kazi kama kawaida; hebu msikilize mwenyewe hapa

Nchi ina wajinga hiiπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Yes. Muliiro naye huenda ni muumini wa wachawi na ni muumini wa ushirikina.
Inashangaza sana ni kwanini waafrika kwa wingi wanaamini upuuzi kama huo.

Unakuta mtu msomi mwenye heshima zake anaamini eti kuna wachawi na mapepo.

Najua hata wewe mleta mada unaamini hizo mambo, huwa mnafeli wapi?
 
Nchi ina wajinga hiiπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Sio nchi hii tu, Afrika yote, hadi maarabu nayo yana amini eti kuna majini!

Duniani hapa wenye akili ni mzungu na mjapani tu.
 
Inashangaza sana ni kwanini waafrika kwa wingi wanaamini upuuzi kama huo.

Unakuta mtu msomi mwenye heshima zake anaamini eti kuna wachawi na mapepo.

Najua hata wewe mleta mada unaamini hizo mambo, huwa mnafeli wapi?
Ujinga hauangalii kama mtu ni msomi au hakwenda shule. Upumbavu ndio unaangalia shule mkuu.
 
Sio nchi hii tu, Afrika yote, hadi maarabu nayo yana amini eti kuna majini!

Duniani hapa wenye akili ni mzungu na mjapani tu.
Kweli kabisa mkuu. Hasa maswahili yanaamini ujinga sana. Wewe fikiria majitu mazima unakuta yamekusanywa na wale wahuni wanaochezea nyoka wanawauzia dawa feki za mapenzi na kutongoza. Unaweza kuamini kuwa wasomi ndio wateja wakubwa wa dawa za mapenzi, hasa wanawake? Ni tatizo sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…