Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inashangaza sana ni kwanini waafrika kwa wingi wanaamini upuuzi kama huo.Yes. Muliiro naye huenda ni muumini wa wachawi na ni muumini wa ushirikina.
Sio nchi hii tu, Afrika yote, hadi maarabu nayo yana amini eti kuna majini!Nchi ina wajinga hii🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Ujinga hauangalii kama mtu ni msomi au hakwenda shule. Upumbavu ndio unaangalia shule mkuu.Inashangaza sana ni kwanini waafrika kwa wingi wanaamini upuuzi kama huo.
Unakuta mtu msomi mwenye heshima zake anaamini eti kuna wachawi na mapepo.
Najua hata wewe mleta mada unaamini hizo mambo, huwa mnafeli wapi?
Kweli kabisa mkuu. Hasa maswahili yanaamini ujinga sana. Wewe fikiria majitu mazima unakuta yamekusanywa na wale wahuni wanaochezea nyoka wanawauzia dawa feki za mapenzi na kutongoza. Unaweza kuamini kuwa wasomi ndio wateja wakubwa wa dawa za mapenzi, hasa wanawake? Ni tatizo sana mkuu.Sio nchi hii tu, Afrika yote, hadi maarabu nayo yana amini eti kuna majini!
Duniani hapa wenye akili ni mzungu na mjapani tu.