Nabii kiboko ya wachawi, naona anafanya maigizo

Nabii kiboko ya wachawi, naona anafanya maigizo

Kwa upeo wangu,Mungu amempa kila mmoja wetu akili na utashi, uwezo wa kuchagua mambo mema na mabaya,amekupa ruhusa ya kuchagua upande unaoutaka....ndio maana anaruhusu Haya Ili wewe Binafsi uchague lililo Jema .....kama wakristo tuna kila sababu ya kujifunza kumjua sana Mungu na kuyatenda Mapenzi yake,na kuzishika amri zake bila kuyumbishwa na manabii fake
Asante sana, natamani kuendelea kuuliza lakini ngoja nisikusumbue, thank.
 
Huyu nabii kashamaliza ziara yake huku kwetu...😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
Maana magari yote rout zilikua huko huko kwake tu
Watu wa siku hizi wanapenda kusingizia wamerogwaaa!yaani mtu anachezea maisha yake mwenyewe hataki shule,Hana mipango endelevu ila akikwama utasikia nimerogwa na baba mkubwa,,ndio mbio kwenye hayo makanisa
 
basi at least usali kwenye makanisa rasmi,

hawa motivation speakers sio poa

Hakuna kanisa rasmi duniani...

Makanisa yote unayoyaita rasmi yalianzishwa na mtu au kikundi cha watu, na mbaya zaidi katika hayo hayo makanosa yaitwayo rasmi yana rituals za kishetani zikiwa zimefunikwa kwa majina matamu matamu...

Yesu Kristo alivyoondoka duniani hakusema kwamba naawachia kanisa fulani, bali alisema nitawaachia Roho Mtakatifu...
 
Watu wa siku hizi wanapenda kusingizia wamerogwaaa!yaani mtu anachezea maisha yake mwenyewe hataki shule,Hana mipango endelevu ila akikwama utasikia nimerogwa na baba mkubwa,,ndio mbio kwenye hayo makanisa
Sema nabii anaupiga mwingi nyie...
Na anatumia sana wamama 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Mimi simjui Mungu mwingine zaidi ya yule aliyeziumba mbingu na nchi, hata akamwagiza nabii wake Musa ya kwamba mwanadamu asiwe na miungu mingine isipokuwa yeye...
ungezaliwa na kukulia maisha ya kiislamu usingesema hivyo,

ndo maana hatuamini, kwasababu dini ni ubinafsi....

kwahiyo msiwe natudharau tuna sababu zetu
 
ungezaliwa na kukulia maisha ya kiislamu usingesema hivyo,

ndo maana hatuamini, kwasababu dini ni ubinafsi....

Ni kweli...
Lakini unapokuwa mkubwa na kuwa na utashi, unaruhusiwa kuutafuta ukweli na kuambatana nao...
Ni vile tu sema wengi wetu ni casual au shallow believers, tukizaliwa tu dini fulani basi tunashika hicho hicho hadi ukamilifu wa maisha yetu...

kwahiyo msiwe natudharau tuna sababu zetu

Mkuu ukiona mkristo anadharau au kumsema vibaya yule asiye wa imani yake, basi ujue huyo si mfuata neno la Yesu Kristo...kama ilivyoandikwa na nanukuu mafunzo ya Kristo mwenye

Luka 10
27 Akajibu akasema, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote, na kwa akili zako zote; na jirani yako kama nafsi yako.
 
barikiwa sana Watu8
 
Back
Top Bottom