Nabii kutoka Nigeria ashinda mkanda baada ya kumpiga shetani

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001

Nabii Odumeje wa Nigeria akionyesha mkanda alioupata baada ya kushinda pambano la Kimataifa la Vita ya Kiroho.

Nabii Odumeje anasema alienda kuzimu akiwa peke yake na akapigana na shetani wakiwa kwenye ulingo uliokuwa umefungwa pande zote.

Hakika ukijidhania umemaliza kuyajua yote, wewe hujui kitu.
Kongole za kipekee zimfikie Mshana Jr
Your browser is not able to display this video.
 
Ukiristo sasa hivi umejidhalilisha sana...yaan ukiristo umegeuka mwanasesere
 
Bujibuji tunakuja soon kukupigia kura ya kutokuwa na imani nawe aisee.😀

Hii si tatepa hii kha!🤣🤣🤣🤣🤣
 
Many will die because of ignorance of God secrets..... Huyo ameshinda mkanda wakumtukuza shetani... Maana hata Yesu alishuka kuzimu akamfunga pingu na mpaka leo amefungwa je alimkabidhi vipi mkanda?
Ikiwa Yulusifa angekuwa hai I mean angekuwa na uhuru hajatiwa pingu nataka kukuhakikishia Dunia ingekuwa bahari ya Moto na maumivu ambayo binadam hayajaona tangu kuubwa kwa dunia. Hivi amefungwa ila plan zake zimekuwa kilio kwa mwanadam. Je angekuwa na uhuru wakutembea ingekuwaje? Huyo mwanadam mwenye nyama kama mimi anawezaje kushuka kuzimu akarudi na mkanda hivi anakujuwa kuzimu kweli? Alie shuka kuzimu ktk hali ya uwanadam ila akiwa Mungu anatushuhudia Habari ya kuzimu... Pale mbingu na dunia vilisimama dam ikamwagika ili mwanadam aokolewe... Siku ile Mungu alitoa machozi kwa ajili ya wajinga kama hawa ambao hawajitambui... Nisiku ambayo haitotoka ktk historia za Mbinguni na nisiku ambayo Yulusifa alipoteza kwa kupigwa tutusa.... Akifikiri amemaliza ngume amemalizwa na hata leo huko kuzimu jina hili Yesu halitajwi huwamini watafute wachawi na majini uwaulize shughuli ya Hilo jina Yesu. End
 
Babu kuwa uyaone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…