Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,052
- 2,995
Mh kumbe kuzimu wame endelea Wana miliki mpaka viwanda vya kutengeneza mikanda Mimi nilijua ni🔥🔥🔥mwanzo mwisho😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao mbona wakosekani ndgNa unaweza kukuta kuna watu wamemuamini!
Hii kali
Na pambano nani alikuwa promoterDah.. Inabidi mchungaji atufahamishe pambano lilikua la uzito gani,raundi ngapi na ameshindaje kwa point or kwa K O?
Ni kweli. Ndiyo maana hafanani na sisi kimawazo wala kiutendaji...Mungu ni mvumilivu sana yani.
AiseeeNini Kimetokea ? [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 2411042
Nabii Odumeje wa Nigeria akionyesha mkanda alioupata baada ya kushinda pambano la Kimataifa la Vita ya Kiroho.
Nabii Odumeje anasema alienda kuzimu akiwa peke yake na akapigana na shetani wakiwa kwenye ulingo uliokuwa umefungwa pande zote.
Hakika ukijidhania umemaliza kuyajua yote, wewe hujui kitu.
Kongole za kipekee zimfikie Mshana Jr
View attachment 2411061
Naona umechekaaa kwrikweri[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]