CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.
1 Yohana 4:1
1 Yohana 4:1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakiambiwa Ukatoliki ndio Ukristo halisi, wanatokwa mapovu. Waprotestanti wameharibu sana image ya Ukristo
Ukatoliki na roho nyingine zilizopo makanisani zijaribiwe kama zimetoka kwa MunguWapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.
1 Yohana 4:1
Ha ha ha...Kwa hiyo Shetani akawa Mandonga...
Kwa hiyo! SHETANI HAYUPO TENA NA KAMA NI DHAMBI TUTAKUA TUNA FANYA KWA MATAKWA YETU NA SI KWA VISHAWISHI VYA SHETANI!!?View attachment 2411042
Nabii Odumeje wa Nigeria akionyesha mkanda alioupata baada ya kushinda pambano la Kimataifa la Vita ya Kiroho.
Nabii Odumeje anasema alienda kuzimu akiwa peke yake na akapigana na shetani wakiwa kwenye ulingo uliokuwa umefungwa pande zote.
Hakika ukijidhania umemaliza kuyajua yote, wewe hujui kitu.
Kongole za kipekee zimfikie Mshana Jr
View attachment 2411061
Inawezekana shetani anakaa peke yake hana hata nyumba wala wasaidizi? Huyu jamaa ilibidi Kwanza awapige walinzi na awashinde halafu aingie ndani ampe Kickapoo shetani.Hiyo closed door nani alishuhudia?
Alimuacha shetty katika hali gani?
Hata selfie na shetani aliyejikunyata kwa kipondo hajatulete...
Mimi nimegoma kumuamini nabii
AiseeKwa hiyo! SHETANI HAYUPO TENA NA KAMA NI DHAMBI TUTAKUA TUNA FANYA KWA MATAKWA YETU NA SI KWA VISHAWISHI VYA SHETANI!!?
Ajamaliza mapambano! Aje na wakumshinda mwanadamu, mimi ntaenda kupambania ule wa vikoba unao sumbua wake zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Walokole siyo waprotestanti.Wakiambiwa Ukatoliki ndio Ukristo halisi, wanatokwa mapovu. Waprotestanti wameharibu sana image ya Ukristo
Aisee... Nigerians ni mataahiraInawezekana shetani anakaa peke yake hana hata nyumba wala wasaidizi? Huyu jamaa ilibidi Kwanza awapige walinzi na awashinde halafu aingie ndani ampe Kickapoo shetani.
Sass kama alikuwa peke yake nani alikuwa refa? Huo mkanda alikuwa anamiliki shetani baada ya kumshinda nani?
Kuna watu wapumbavu sana.
Acha kupotosha, nabii kasema alienda peke yake!Hiyo ni kweli kabisa mimi na wanangu kadhaa tulishuhudia hilo pambano
NdoigeHa ha ha...View attachment 2411078
Upo sahihi shida ni kuwa eti mungu anajitetea mwenyewe hatetewiUkiristo sasa hivi umejidhalilisha sana...yaan ukiristo umegeuka mwanasesere
Even mpagani au mtu wa dini yeyote kama unataka kujuwa hii nguvu ya jina Yesu litaje ktk jambo lolote utakacho kiona utakuja kushuhudia.. shetani sio tu anakula wanadam. Yani sisi ni chakula miili hii anakula ndio maana kuna magonjwa ya ajabu sana sio magonjwa ni maabara za shetani huko kuzimu zina fanya kazi... Unapo ona mtu ana Kansa Yani anakuwa chakula akiwa hai wanatafuta uchafu maroho machafu yanaingia ktk mwili yana leta Kansa yanakutafuna wewe unaona ugonjwa... Mtu anaitwa moyo unafikiri moyo no sio moyo ni kazi ya maabara za kuzimu kutengeneza viumbe kuitafuna mioyo yetu.. unaliwa ukiwa hai... Yani unaliwa kama fisi au mbwa mwitu wanavyo kula wanyama wenzak wakiwa hai... Yani ni shida. Mtu wa Mungu funguka or u will die.Many will die because of ignorance of God secrets..... Huyo ameshinda mkanda wakumtukuza shetani... Maana hata Yesu alishuka kuzimu akamfunga pingu na mpaka leo amefungwa je alimkabidhi vipi mkanda?
Ikiwa Yulusifa angekuwa hai I mean angekuwa na uhuru hajatiwa pingu nataka kukuhakikishia Dunia ingekuwa bahari ya Moto na maumivu ambayo binadam hayajaona tangu kuubwa kwa dunia. Hivi amefungwa ila plan zake zimekuwa kilio kwa mwanadam. Je angekuwa na uhuru wakutembea ingekuwaje? Huyo mwanadam mwenye nyama kama mimi anawezaje kushuka kuzimu akarudi na mkanda hivi anakujuwa kuzimu kweli? Alie shuka kuzimu ktk hali ya uwanadam ila akiwa Mungu anatushuhudia Habari ya kuzimu... Pale mbingu na dunia vilisimama dam ikamwagika ili mwanadam aokolewe... Siku ile Mungu alitoa machozi kwa ajili ya wajinga kama hawa ambao hawajitambui... Nisiku ambayo haitotoka ktk historia za Mbinguni na nisiku ambayo Yulusifa alipoteza kwa kupigwa tutusa.... Akifikiri amemaliza ngume amemalizwa na hata leo huko kuzimu jina hili Yesu halitajwi huwamini watafute wachawi na majini uwaulize shughuli ya Hilo jina Yesu. End
Kuna watu wanapigwa kindezi hadi kero, sasa huo mkanda alipewa na nani huko kwenye ulingo, kulikuwa na refa?Na unaweza kukuta kuna watu wamemuamini!