TimeOut
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 3,894
- 8,454
Na hapo kesha okota wake wengi tu! Huo mkanda ni wa kumfunganisha yeye na shetani!Nabii amerogwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hapo kesha okota wake wengi tu! Huo mkanda ni wa kumfunganisha yeye na shetani!Nabii amerogwa
Ni jambo la uelewa wako kuchanganya Ukristo na hizo blaa blaa za mitume na manabii waganga njaa. Uzuri wa Dini hii ya Ukristo huwa haina shida maana Ngao zitajichuja zenyewe toka kwenye makapi....Ukiristo sasa hivi umejidhalilisha sana...yaan ukiristo umegeuka mwanasesere
A Protestant is a Christian who belongs to the branch of the Christian church which separated from the Catholic church in the sixteenth century.Walokole siyo waprotestanti.
Tunazungumzia imani. Maskendo ya individual person hayakwepeki kuwepo katika kundi kubwa kama lilivyo la Wakatoliki. Hawa Wasabato ambao hata kunywa soda ni dhambi? Hawa hawa walioandamana kuelekea airport kwenda Ulaya bila ticket, passport wala viza?Ukatoliki na wenyewe miyeyusho. Sabato ndio Wakristo pekee wasio na maskendo
Upo matako wazi mkuu,nampongeza aliouvumbua ulokole,umetufunulia upuuzi wa dini.Ukiristo sasa hivi umejidhalilisha sana...yaan ukiristo umegeuka mwanasesere
Sio Nigerians, sema walokole, maana hivyo vituko haviishii Nigeria tuAisee... Nigerians ni mataahira
Huo sio Ukristo.Maana ya Ukristo ni kuishi na kuenenda km Yesu alivyoishi na kuagiza. Km mtu anafanya kinyume na Yesu huyo si Mkristo na hata dini hiyo sio ya Kikristo.Ukiristo sasa hivi umejidhalilisha sana...yaan ukiristo umegeuka mwanasesere
Sio Nigerians, sema walokole, maana hivyo vituko haviishii Nigeria tu
Si mwepesi wa hasiraMungu ni mvumilivu sana yani.
Kwa hiyo shetani kafa?au ameumizwa tu,tuendelee kujiandaa na pambano jingine??View attachment 2411042
Nabii Odumeje wa Nigeria akionyesha mkanda alioupata baada ya kushinda pambano la Kimataifa la Vita ya Kiroho.
Nabii Odumeje anasema alienda kuzimu akiwa peke yake na akapigana na shetani wakiwa kwenye ulingo uliokuwa umefungwa pande zote.
Hakika ukijidhania umemaliza kuyajua yote, wewe hujui kitu.
Kongole za kipekee zimfikie Mshana Jr
View attachment 2411061
Hatimae shetani amesalimu amri🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nini kimetokea! [emoji1787]
Tunasubiri jumapili ijayo kama shetani ataamua kulipa kisasi ama amesanda gemuKwa hiyo shetani kafa?au ameumizwa tu,tuendelee kujiandaa na pambano jingine??
Afrika ina wajinga wengi sana
Na refa alikuwa nani? ....Muujiza kama kidogo? Huyu atueleze alioanda basi gani kwenda huko kuzimu? Atuonyeshe na tiketi
NASIKIA ZUMARIDI, 😂Na refa alikuwa nani? ....
View attachment 2411042
Nabii Odumeje wa Nigeria akionyesha mkanda alioupata baada ya kushinda pambano la Kimataifa la Vita ya Kiroho.
Nabii Odumeje anasema alienda kuzimu akiwa peke yake na akapigana na shetani wakiwa kwenye ulingo uliokuwa umefungwa pande zote.
Hakika ukijidhania umemaliza kuyajua yote, wewe hujui kitu.
Kongole za kipekee zimfikie Mshana Jr
View attachment 2411061