Nabii kutoka Nigeria ashinda mkanda baada ya kumpiga shetani

Nabii kutoka Nigeria ashinda mkanda baada ya kumpiga shetani

View attachment 2411042
Nabii Odumeje wa Nigeria akionyesha mkanda alioupata baada ya kushinda pambano la Kimataifa la Vita ya Kiroho.

Nabii Odumeje anasema alienda kuzimu akiwa peke yake na akapigana na shetani wakiwa kwenye ulingo uliokuwa umefungwa pande zote.

Hakika ukijidhania umemaliza kuyajua yote, wewe hujui kitu.
Kongole za kipekee zimfikie Mshana Jr
View attachment 2411061
Hakika ukijidhania umemaliza kuyajua yote, wewe hujui kitu.
 
Naomba namna za pusha wa pasta
[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
giphy.gif


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo closed door nani alishuhudia?
Alimuacha shetty katika hali gani?
Hata selfie na shetani aliyejikunyata kwa kipondo hajatulete...

Mimi nimegoma kumuamini nabii
Shetty'nin!😆😆😆😆.
 
Back
Top Bottom