Nabii Malisa aelezea jinsi alivyomfufua mama yake mzazi mara 3

PharaohMtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2023
Posts
713
Reaction score
1,208
MAMA YANGU MZAZI ALIFARIKI NIKAMUOMBEA AKAFUFUKA; PROPHET MALISA

Your browser is not able to display this video.

"Moja ya kitu ambacho sitakuja kukisahau katika maisha yangu yote ni siku ambayo mama yangu mzazi alifariki halafu nikamuombea akafufuka, na hakufariki mara moja, ni mara tatu na zote nilimfufua"- Prophet Malisa

Hata hivyo mama mzazi wa Malisa pia amekiri kufufuliwa na mwanae huyo kwa nyakati tatu tofauti.

"Nilikuwa pekee yangu nikafariki nikampigia simu akaja kunifufua"- Mama Malisa.

Itakupasa uwe na akili mgando na utindio wa ubongo na kutokujielewa Kwa 100%ili uwakubali na kuwaelewa Hawa.

Unakubalina naye??
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

 
Ni Bora Giggy Manee abaki Ila huyu jamaa afe aisee...
 
Chai maji matupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…