Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angekuwa Rwanda, Kagame asingemuacha uraianiMare
Marehemu kupiga simu hio ni chai ya mapera kabisa
Muhuni mmoja tu huyo choka mbaya akawa analelewa kwa shemeji yake mpaka alipopata mganga mzuri wa kuoumbaza wajinga awatoe mpunga hana uwez wa kumlaani hata nziUnajaribu kumcheka nabii? Angalia sana atakulaani!!!🤣🤣
Aliyezimia anaweza kupiga simu?Labda alizimia
Ubwege huuMAMA YANGU MZAZI ALIFARIKI NIKAMUOMBEA AKAFUFUKA; PROPHET MALISA
"Moja ya kitu ambacho sitakuja kukisahau katika maisha yangu yote ni siku ambayo mama yangu mzazi alifariki alafu nikamuombea akafufuka, na hakufariki mara moja, ni mara tatu na zote nilimfufua"- Prophet Malisa
Hata hivyo mama mzazi wa Malisa pia amekiri kufufuliwa na mwanae huyo kwa nyakati tatu tofauti.
"Nilikuwa pekee yangu nikafariki nikampigia simu akaja kunifufua"- Mama Malisa.
Itakupasa uwe na akri mgando na utindio wa ubongo na kutokujielewa Kwa 100%ili uwakubali na kuwa elewa Hawa.
Unakubalina naye?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2832211
Mungu angekuwepo, isingehitajika kumfufua mtu.Sishangai kwa prophet kumfufua mtu.. lakini kwa jinsi alivyo wasilisha shuhuda yake inaleta utata... But tusikatae wala kukosoa.. Tuendelee kuyaishi maisha, kwani Mungu ni wakwetu sote.. kuna nabii mmoja anakauli yake anasema "Mungu anawatu wengi"
Haya ahsante nabii haya wenye dini yenu hongereni kwa kufufua watu kweli omba mungu akupe akili hii dini ni ya mazwazwa kama MK254MAMA YANGU MZAZI ALIFARIKI NIKAMUOMBEA AKAFUFUKA; PROPHET MALISA
"Moja ya kitu ambacho sitakuja kukisahau katika maisha yangu yote ni siku ambayo mama yangu mzazi alifariki alafu nikamuombea akafufuka, na hakufariki mara moja, ni mara tatu na zote nilimfufua"- Prophet Malisa
Hata hivyo mama mzazi wa Malisa pia amekiri kufufuliwa na mwanae huyo kwa nyakati tatu tofauti.
"Nilikuwa pekee yangu nikafariki nikampigia simu akaja kunifufua"- Mama Malisa.
Itakupasa uwe na akri mgando na utindio wa ubongo na kutokujielewa Kwa 100%ili uwakubali na kuwa elewa Hawa.
Unakubalina naye?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2832211
Mungu angekuwepo, isingehitajika kumfufua mtu.
Mtu asiyetaka kufa, asingekufa.
Mtu asiyetaka kufa akifa, huo ni ushahidi Mungu hayupo.
Umeelewa?
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukiamini Mungu yupo, na anawezesha watu kufanya miujiza, huna msingi wa kukataa habari hii categorically.
Mimi nina urahisi wa kuikataa habari hii categorically kwa sababu siamini Mungu yupo na sikubali miujiza.
Jpm alimfurumishaAlipotea naona amerudi kwa kishindo
Mungu ni hadithi iliyotungwa na watu.Unataka kusema mungu hayupo??
Malisa anatekeleza haki yake ya kikatiba na kibinadamu. Uhuru wa kuabudu. Hii ni haki ya kikatiba, pia ni haki ya kibinadamu iliyopo katika Universal Declaration of Human Rights tangu December 10 1948.Angekuwa Rwanda, Kagame asingemuacha uraiani