Nabii Malisa aelezea jinsi alivyomfufua mama yake mzazi mara 3

Nabii Malisa aelezea jinsi alivyomfufua mama yake mzazi mara 3

Mungu ni hadithi iliyotungwa na watu.

Mungu huyo mnayemsoma kwenye Biblia na Quran (muweza yote, mjuzi wa yote, mwenye upendo wote) ukimpima kimantiki unaona kabisa hayupo, kuna contradictions za kimantiki zinaonesha kirahisi tu kwamba huyo Mungu hayupo na hawezi kuwepo.

Tatizo watu wamerithishwa uongo kwamba yupo kwa vizazi na vizazi inakuwa vigumu kukubali kwamba hayupo.

Kwenye saikolojia hiki kitu kinaitwa "cognitive dissonance".
Ni fact coz tunazungumzia Mungu ambaye hatujawai muona, Lakin mkuu kuamini kama yupo kunakuja kwenye uwepo kwa Ulimwengu wa ibirisi coz yupo against na Faithfull of God.
 
Aaah chief ndio afariki alafu apige simu mwanae aje kumfufua🤣🤣🤣
Ukiamini Mungu hiyo story hutakiwi kuihoji kwamba haiwezekani.

Ukiihoji kwamba haiwezekani itakuwa kama unasema Mungu hawezi kuifanikisha iwe hivyo hivyo.

Mimi siamini Mungu wala miujiza, hivyo naweza kuipinga hii habari na kusema ni uongo.

Nilichogundua ni kwamba, watu wengi wanaosema wanamuamini Mungu, kwa kuangalia uzi huu, na wao hawamuamini Mungu.

Yani wote tumekuwa Viranga hapa.
 
MAMA YANGU MZAZI ALIFARIKI NIKAMUOMBEA AKAFUFUKA; PROPHET MALISA

"Moja ya kitu ambacho sitakuja kukisahau katika maisha yangu yote ni siku ambayo mama yangu mzazi alifariki alafu nikamuombea akafufuka, na hakufariki mara moja, ni mara tatu na zote nilimfufua"- Prophet Malisa

Hata hivyo mama mzazi wa Malisa pia amekiri kufufuliwa na mwanae huyo kwa nyakati tatu tofauti.

"Nilikuwa pekee yangu nikafariki nikampigia simu akaja kunifufua"- Mama Malisa.

Itakupasa uwe na akri mgando na utindio wa ubongo na kutokujielewa Kwa 100%ili uwakubali na kuwa elewa Hawa.

Unakubalina naye?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2832211
Nilikuwa peke yangu,nikafariki,nikampigia simu akaja kunifufua
 
Ni fact coz tunazungumzia Mungu ambaye hatujawai muona, Lakin mkuu kuamini kama yupo kunakuja kwenye uwepo kwa Ulimwengu wa ibirisi coz yupo against na Faithfull of God.
Ukiamini kuwa Ibilisi yupo wakati Mungu hayupo ni sawa na kuamini kuwa kivuli chako kipo wakati wewe mwenyewe haupo.

Story ya Ibilisi ni ile ile ya Mungu tu, umepewa upande wa pili kuleta "conflict", waliosoma tamthiliya watajua umuhimu wa conflict katika story.

Ni hivi, Mungu hayupo, Ibilisi hayupo. Sasa waliotunga story ya Mungu walitaka kupata namna ya ku explain mabaya ya dunia yamewezekana vipi kuwepo kama Mungu ni mwema? Wakajitungia story ya Ibilisi, ambayo nayo ukiipima katika mizani ya kimantiki unaona ni ya uongo wa kitoto wa kuungaunga tu.

Hakuna Mungu, hakuna Ibilisi, hizo zote ni hadithi za kutunga za watu tu.

Tena zimepitwa sanaa na muda, ni sisi huku kwenye umasikini wa uchumi na elimu ndiyo bado tunazing'ang'ania bado tu.
 
Haya mambo haifai kuwaelezea watu wazima,waliokomaa kiakili,watoto tu na watu wazima mazombi ndo watasikiliza.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Nilitoa kisa mwaka flani tulimpeleka dada yetu Kwa huyu jamaa ndo nikagundua ni tapeli sema kwamba Mimi nilikuwa nimegoma ila shinikizo la ndg ikatulazimu twende akaombewe asee ni utaperi mtupu Wala hakupona
 
Sishangai kwa prophet kumfufua mtu.. lakini kwa jinsi alivyo wasilisha shuhuda yake inaleta utata... But tusikatae wala kukosoa.. Tuendelee kuyaishi maisha, kwani Mungu ni wakwetu sote.. kuna nabii mmoja anakauli yake anasema "Mungu anawatu wengi"
Hilo halipo Kwa manabii Hawa kama kweli anafufua watu aende makaburini au chato akamfufue mtetezi wa wanyonge
 
Ukiamini Mungu yupo na anaweza kufanya miujiza yote, huna msingi wa kukataa hilo.

Kwa sababu ukikataa habari hiyo, kimsingi utakuwa unasema Mungu hana uwezo wa kumpa mfu simu apige kuongea na nabii, halafu nabii akamfufua.

Ukiamini Mungu yupo na anaweza kufanya miujiza, huna msingi wa kukataa habari hii categorically.
Kama na Mungu anasimu sawa mkuu sikatai [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]marehemu akampigia mwanae cm akaja kumfufuaa .

Kanisaa lote likasimama nakushangiliaa Kwa shangwee na vigele gelee [emoji23][emoji23][emoji23]

Safari n ndefu haswaa Kwa hawa waumini ambao wapo km mazombi hasikii chcht Wala kuelewa chcht dhid ya utapeli wa watu wa aina hii
 
Back
Top Bottom