Zainab j
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,817
- 2,362
Wagalatia wanatapeliwa kila uchao,cha ajabu wakizunduliwa hasira wanamalizia kwa kobazi walivyo mazuzu!Huo ni mkojo sio chai
"Nilikuwa peke yangu nikafariki nikampigia simu akaja kunifufua"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wagalatia wanatapeliwa kila uchao,cha ajabu wakizunduliwa hasira wanamalizia kwa kobazi walivyo mazuzu!Huo ni mkojo sio chai
"Nilikuwa peke yangu nikafariki nikampigia simu akaja kunifufua"
Mungu yupo mkuu wacha kukufuruHujajibu swali.
Kwani Mungu gani si wa kuchonga na unathibitisha vipi si wa kuchonga?
Hujathibitisha Mungu yupo.Mungu yupo mkuu wacha kukufuru
Si mmewaambia wajiajiri?Nabii mwenyew [emoji23][emoji23]View attachment 2832277
Asante sana mkuu.Sisi ngozi nyeusi ni tatizo sana.Nilitoa kisa mwaka flani tulimpeleka dada yetu Kwa huyu jamaa ndo nikagundua ni tapeli sema kwamba Mimi nilikuwa nimegoma ila shinikizo la ndg ikatulazimu twende akaombewe asee ni utaperi mtupu Wala hakupona
Nchi hii imejaa watu wajinga sanaMAMA YANGU MZAZI ALIFARIKI NIKAMUOMBEA AKAFUFUKA; PROPHET MALISA
"Moja ya kitu ambacho sitakuja kukisahau katika maisha yangu yote ni siku ambayo mama yangu mzazi alifariki alafu nikamuombea akafufuka, na hakufariki mara moja, ni mara tatu na zote nilimfufua"- Prophet Malisa
Hata hivyo mama mzazi wa Malisa pia amekiri kufufuliwa na mwanae huyo kwa nyakati tatu tofauti.
"Nilikuwa pekee yangu nikafariki nikampigia simu akaja kunifufua"- Mama Malisa.
Itakupasa uwe na akri mgando na utindio wa ubongo na kutokujielewa Kwa 100%ili uwakubali na kuwa elewa Hawa.
Unakubalina naye?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2832211
Hujathibitisha Mungu yupo.
Umetoa kauli ya imani tu kwamba Mungu yupo.
Thibitisha Mungu yupo.
Is it possible that God does not exist, and that is why you can't prove the existence of God?God is not a scientific fact for his existence to be scientifically proved.. If you can prove his existence then he is officially disqualified to be God.
U need to remember that "Proof" is a scientific invention. Is something which was invented by scientists in order to help them with their experience.
Before the invention hakukuwaga na kitu kinaitwa " proof"
Mfano before time was invented kipindi hakuna saa wala mambo ya muda halafu ukamtuma mtu aende sehemu then mti huyo akachelewq how do u proof kwamba amechelewa?
Safi sana Mama Malisa hakika umeupiga mwingi juu ya ulivyofariki na kuweza kupiga simu kwa mwanao aje akufufue"Nilikuwa pekee yangu nikafariki nikampigia simu akaja kunifufua"- Mama Malisa.
Wakiisha ccm watapata wapi kwa kula. Wajinga tunao hadi Yesu mwenyewe arudiWajinga hawataisha nchi hii
Zingatia hapa,Ukiamini Mungu yupo kweli, hutakiwi kukataa kuwa habari hii inawezekana kuwa ya ukweli.
Haya ahsante nabii haya wenye dini yenu hongereni kwa kufufua watu kweli omba mungu akupe akili hii dini ni ya mazwazwa kama MK254
Nakwambia hivi.Zingatia hapa,
"Nilikuwa pekee yangu nikafariki nikampigia simu akaja kunifufua"- Mama Malisa.
Hii sentensi haihitaji akili kubwa kuielewa
Yaani maiti ipige simu!?!!!
Waulize wanaosema kamfufua mama yake alimfufua kwa kumtumia Mungu gani?Hujajibu swali.
Kwani Mungu gani si wa kuchonga na unathibitisha vipi si wa kuchonga?
Is it possible that God does not exist, and that is why you can't prove the existence of God?
....🤐🤐🤐.."Nilikuwa pekee yangu nikafariki nikampigia simu akaja kunifufua"- Mama Malisa.