Nimeshakujibu awali nimesema kwamba.
1.God is not a scientific fact for his existence to be scientifically proved...
2. Kuthibitisha ama uthibitisho ni dhana iliyo buniwa na wanasayansi ili iwasaidie katika tafiti na majaribio yao ya kisayansi lakini kiukweli hata uthibitisho wa hiyo dhana yenyewe inayoitwa " uthibitisho" unaweza kuwa challenged vizuri sana. Wanasheria wanalijua hilo ndio maana nao wamebuni two standards of proof. Lakini pamoja na hizo standard zao za proof walizo zi adopt lakini still wanakubaliana kwamba things which cannot be proved in court of laws do exist.
3. Nikatoa mfano unao " proof" kwamba dhana ya " proof" ilibuniwa tu na wanasayansi, kabla ya kubuniwa kwa muda na nyakati enzi hakuna saa ungemtuma mtu aende mahali ambapo anatakiwa kutumia dakika 10 yeye akatumia masaa ma3. Usingeweza kumwambia kwamba amechelewa kwa sababu usingeweza ku prove kwamba amechelewa..