Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Kweli aisee lazima kuamini ukiwa na Mungu.Ukiamini Mungu yupo kweli, hutakiwi kukataa kuwa habari hii inawezekana kuwa ya ukweli.
Kwamba alikuwa pekee yake akafariki hàlafu akampigia simu mwanae akaja kumfufua.
Kweli Mungu anatenda miujuza hadi maiti anapiga simu.... Njooo nimekufa unufufueee! Amen.