Nabii Malisa aelezea jinsi alivyomfufua mama yake mzazi mara 3

Nabii Malisa aelezea jinsi alivyomfufua mama yake mzazi mara 3

MAMA YANGU MZAZI ALIFARIKI NIKAMUOMBEA AKAFUFUKA; PROPHET MALISA

"Moja ya kitu ambacho sitakuja kukisahau katika maisha yangu yote ni siku ambayo mama yangu mzazi alifariki alafu nikamuombea akafufuka, na hakufariki mara moja, ni mara tatu na zote nilimfufua"- Prophet Malisa

Hata hivyo mama mzazi wa Malisa pia amekiri kufufuliwa na mwanae huyo kwa nyakati tatu tofauti.

"Nilikuwa pekee yangu nikafariki nikampigia simu akaja kunifufua"- Mama Malisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HUU NI USHAHIDI MALISA AKIWA NA MAMA YAKE MADHABAHUNI WAKIMIMINA USHUHUDA MBELE YA WAUMINI WAO.

Mbaya zaidi Kuna wanaume wenzetu nao wanashangilia.

Itakuchukua muda usiopungua miaka 31au zaidi na pengine usifanikwe kunishawishi Mimi kurudi Tena kanisani.
Mara papa anaruhusu ushoga,kubadiri jinsia mtu anayepinga anatimuliwa kazi. Asee waafrica Kuna haja ya kujitafakari sana.View attachment 2832644
Nchi hii imejaa watu wajinga sana
~Dr mollel 😆
 
MAMA YANGU MZAZI ALIFARIKI NIKAMUOMBEA AKAFUFUKA; PROPHET MALISA

"Moja ya kitu ambacho sitakuja kukisahau katika maisha yangu yote ni siku ambayo mama yangu mzazi alifariki alafu nikamuombea akafufuka, na hakufariki mara moja, ni mara tatu na zote nilimfufua"- Prophet Malisa

Hata hivyo mama mzazi wa Malisa pia amekiri kufufuliwa na mwanae huyo kwa nyakati tatu tofauti.

"Nilikuwa pekee yangu nikafariki nikampigia simu akaja kunifufua"- Mama Malisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyo mama anasema alikuwa pekee yake, akafariki, halafu akiwa amefariki, akampigia simu mwanae akaja kumfufua. Labda maana ya neno kufariki tuijuayo sio aliyomaanisha!
 
Back
Top Bottom