MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,444
- 10,687
Sijawahi kuziamini hizi dini zilizoletwa na ngozi nyeupeHUU NI USHAHIDI MALISA AKIWA NA MAMA YAKE MADHABAHUNI WAKIMIMINA USHUHUDA MBELE YA WAUMINI WAO.
Mbaya zaidi Kuna wanaume wenzetu nao wanashangilia.
Itakuchukua muda usiopungua miaka 31au zaidi na pengine usifanikwe kunishawishi Mimi kurudi Tena kanisani.
Mara papa anaruhusu ushoga,kubadiri jinsia mtu anayepinga anatimuliwa kazi. Asee waafrica Kuna haja ya kujitafakari sana.View attachment 2832644