PharaohMtakatifu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2023
- 713
- 1,208
- Thread starter
- #241
Mitaji hiyo ukioa wa namna hiyo sahau kumwelekeza kitu Kila kitu atakuambia nabii kasema hikiAfu kuna wanawake hapo mbele wanashangilia balaa. Sijui wanakuwa wanapangwa? Lakini kuna mmoja nimemuona akishangaa kwa kumtilia mashaka huyu tapeli.